Mwana FA amkana Baba yake mzazi

Mwana FA amkana Baba yake mzazi

inasemekana FA alitelekezwa akalelewa na bibi kwa mjibu wa interview aliyowahi kufanya FA.

hivyo atumie njia nzuri ya kumfata mtoto akianza media atakua kama baba daimond na media.
Mzee wa dudu la yuyu..!!
 
Unaweza kukataa mimba kwasababu huna uthibitisho lakini mtoto je? Akikua na akafanikiwa usimsumbue endelea kumkataa. Wazazi wengi tunajisahau na starehe hao viumbe Mungu Huwa anawabariki Sana. Wakati nguvu zimeisha na uwezo huna ndo unaanza kujipendekeza
 
kama una watoto kua makini sana na malezi yako hizi mambo za kujifanya mkubwa hakosei zimepitwa na wakati kabisa.

ukimtelekeza ujue nawe ipo siku yako
Sure thing
 
Masharti ya kuwa tajiri
Mwanamuziki mkongwe Mohamed Mwinjuma (MAZINGAZINGA) baba yake mzazi na Khamis Mwinjuma (MWANAFA) baada ya kukataliwa na mwanae na kukosa msaada kabisa ameamua kujikita zaidi kwenye muziki na kutaka kuifufua bendi ya Moro Jazz ambayo anasema ndio ndoto yake kubwa.

Pia amebainisha wala hataki tena kuomba msaada kutoka kwa mwanae huyo maana amemdhalilisha vya kutosha hivyo ameamua kupambana na hali yake.

Mpe neno mzee huyo

53545905_134281164291208_1366937534533206016_n.jpg
 
Back
Top Bottom