Recent content by FaruJohn

  1. F

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji B Dozen amvalisha pete mpenzi wake wa miaka mingi

    B Dozen na mfanyakazi mwenzie pale clouds fm Bi Shadee yaliishia wapi?
  2. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua huyu dada (Miner Spartan a.k.a Miner Muna) ana asili ya wapi

    Mpaka zama hizi za 2020 wauza ngada wana survive tu?. Wana roho ngumu sana hawa watu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nani aliiba idea ya mwenzake, Mwana FA au Jay Mo?

    Sikiliza track ya Jay Moe inaitwa Mawazo kwenye album yake ya Mawazo. Utapata majibu. Verse ya tatu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nani Mkali wa Voice Over?

    Immaging ni kitu gani chief? Naomba kueleweshwa kidogo.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja ya Excel

    Yap... jamaa solution yake too manual. Hapo unatakiwa kutumia pivot table. Inakusaidia ku summarize data zako kwa namna unavyotaka Sent using Jamii Forums mobile app
  6. F

    JamiiForums Tanzania Je, KY gel ina uwezo wa kuzuia mwanamke asipate mimba?

    How? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. F

    JamiiForums Tanzania Je, KY gel ina uwezo wa kuzuia mwanamke asipate mimba?

    KY gel ni kilainishi. Itazuia vipi mimba sasa? Haiwezekani kwa akili yangu ndogo. Otherwise ngoja wataalamu waje. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. F

    JamiiForums Tanzania Tujukumbushe uongo mbalimbali aliowahi kusema Mange Kimambi

    App yake imefikia wapi? Nilisikia watu walituma sana hela kupata access ila kukawa na mushkeli. Walirudishiwa pesa yao au app iko active tayari?
  9. F

    JamiiForums Tanzania SOLD: Tunauza TV, Fridge , Home theatre, Sabwoofer, na vingine kama hivyo kwa BEI POA

    Mtu kaulize kama hiyo cooler ina remote
  10. F

    JamiiForums Tanzania Wako wapi "Weusi 10 ngangari'' (W10)?

    Wakuu kwenye hii kitu ndio tumefeli jamani?
  11. F

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Itakuwa ya kutengeneza hii.
  12. F

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, 2017, 51,807 wakwama kuendelea kidato cha 3

    Ni kweli. Najaribu kufungua tangu jana ila kama unavyosema...hazifunguki.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kwa jinsi ratiba ilivyobana ikihairishwa hii mechi hadi ije ipatikane siku nyingine ya kuicheza Paul Pogba kashamaliza adhabu ... [emoji38][emoji38]
  14. F

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ndio. Ni namna nyingine ya kupeleka ujumbe kuwa huuzi. Ni kama Inter walivyotaka wapewe Anthony Martial (21) na pesa ili watupatie Ivan Perisic (29).
  15. F

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Fellaini anapaswa kuwa definition ya uvumilivu na upambanaji. Ni ngumu kuamini ni msimu uliopita tu alikuwa anazomewa Old Trafford na mashabiki walitamani hata asiwe benchi. Leo hii tunalalama ameumia na hatumkumbuki Ander Herrera ambaye yuko available na ni mchezaji bora wa club wa msimu...
Back
Top Bottom