Mkuu kwani kampuni bado ipo au imefungwa??? Kama ipo na mna mwanasheria uwape ushauli wa jinsi ya kufanya ili kupata dalali wa mahakama ili mkapige mnada Mali za hiyo kampuni
Changamoto ya vijana wengi ukimtafuta ukamsaidia kupata kazi baadae wanakuwa na kiburi Cha kiwango Cha rami lawama unabeba uliomsaidia.
Watu wangekuwaga wanyenyekevu kama waliokuwa wakiomba kazi aiseee naamini wengi wangesaidiwa sana....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.