Radick Gabrick
New Member
- Sep 15, 2023
- 3
- 2
Naomba kuuliza anayefahamu Bei ya Usafirishaji wa Nafaka. Mfano Mahindi kupitia Semi
Naomba anisaidie bei au Gharama hizo hupimwa kwa kilo au kwa kila Mzigo wa Gunia moja na inakuwaje.
Msaada Please
Naomba anisaidie bei au Gharama hizo hupimwa kwa kilo au kwa kila Mzigo wa Gunia moja na inakuwaje.
Msaada Please