Recent content by Faru-John

  1. Faru-John

    JamiiForums Tanzania Polisi waua majambazi wanne waliohusika kupora na kuua polisi CRDB Mbande

    M Mdunguaji alikufa hata mwezi haukuisha yoka kukamatwa kwake.
  2. Faru-John

    JamiiForums Tanzania Kero: George Marato wa ITV

    Huyo kivuyo anakuaga na mbwembwe wakat simba ikifanYa vibaya nayanga ikifanya vizuri.
  3. Faru-John

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Play Gal ( Tina zoa zoa)

    Maana hata class hagus!!
  4. Faru-John

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Ngariba haogopi mkojo.
  5. Faru-John

    JamiiForums Tanzania Bima ya afya.

    Jamani mwenye uelewa na hili swala.nahitaji kujiunga na bima ya afya kwa mimi binafsi nifanyeje?
  6. Faru-John

    JamiiForums Tanzania Nunua kiwanja cash,tukupe mkopo wa tofali 1000

    Ukubwa na bei.
  7. Faru-John

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanaume wa wapi

    From call me j.
  8. Faru-John

    JamiiForums Tanzania Wito: Tumchangie binti asiyekuwa na mikono aweze kupata mikono ya bandia Ujerumani

    Tuwekewe namba hapa tufanye kwa kadri tutakavo guswa mkuu.
  9. Faru-John

    JamiiForums Tanzania Gwajima, ujasiri uliokuwa nao kwenda kupima madawa ya kulevya, hili la mtoto kapime waaibike!

    Bashite nae jasiri sana alilia mbele ya waumini' tunaomba afungie kabati atoe cert's
  10. Faru-John

    JamiiForums Tanzania Napata wapi mbwa wenye mikia mifupi

    Hao Uliowana Iringa sio aina sema mwenye nae ameanza kumla taratibu mkuu
  11. Faru-John

    JamiiForums Tanzania Nategemea kusafiri na kocha wa Yanga kesho

    Kwa jinsi inavokuaga bongo..inaweekana jata uwanjan alikuja na begi lake.
  12. Faru-John

    JamiiForums Tanzania CRDB mnakera: Mashine nyingi za miamala ila hazitoi pesa

    Sio gharama za umeme tu machine zenyewe ni very expensiv unless wananua mitumba. Sasa kuna haja gani ya kuwa nay meeeeengi yamrshikilia hela na wakat utilization ni less.???
  13. Faru-John

    JamiiForums Tanzania CRDB mnakera: Mashine nyingi za miamala ila hazitoi pesa

    Kama kazi imewashinda acheni biashara. haiwezekani mtafute sifa kwa kua na mashine nyingi za kufanyia miamala afu zisitoe fedha. Mna namba ya huduma kwawateja alafu haipatikani maana yake ni nini.achen kufanya kazi kwa mazoea.(MNABOA)
  14. Faru-John

    JamiiForums Tanzania Nahitaji shamba mwanza

    Ok nimekurupuka aisee.
  15. Faru-John

    JamiiForums Tanzania Nahitaji shamba mwanza

    Huko ni pazuri ila ferry nd itasumbua kidogo.
Back
Top Bottom