Nategemea kusafiri na kocha wa Yanga kesho

Kazitunayo

JF-Expert Member
Mar 30, 2013
3,782
3,198
Wakuu kesho nina safari ya Zambia. Nina matumaini pasipo na shaka kabisa kesho nitakua nae siti moja au atakua jirani yangu huku tukisoma magazeti kwa mbaali na nikifungua ukurasa wenye sura ya Kichuya.

Tuombeeni safari njema wakuu
 
We jamaa hufaiiii!
Ila kiukweli Omog ana technics kali zaidi.

Wakuu kesho nina safari ya Zambia. Nina matumaini pasipo na shaka kabisa kesho nitakua nae siti moja au atakua jirani yangu huku tukisoma magazeti kwa mbaali na nikifungua ukurasa wenye sura ya Kichuya.

Tuombeeni safari njema wakuu
 
a7470a8a5b04cbe11a77c4e0f5c6dd69.jpg
 
Back
Top Bottom