Kama kazi imewashinda acheni biashara. haiwezekani mtafute sifa kwa kua na mashine nyingi za kufanyia miamala afu zisitoe fedha. Mna namba ya huduma kwawateja alafu haipatikani maana yake ni nini.achen kufanya kazi kwa mazoea.(MNABOA)
Yani mm.pia nimekutana nalo maraa kadhaa ndani ya mwezi huu atm karibu tano nilizozizungukia siku hiyo zimeandikwa SERVICE CLOSED...sio siku moja wala mbili unakuta week nzima ...kibaya zaidi atm haziko zenyewe zingine zipo pemben ya vile vi microfinance vyao na vina operate.mlinzi anakwambia ingia ndani ukatoe....yn ni kerooo..
Km vipi wafunge tu atm sio kuzisambaza halafu nothing...
Thanks to stanbic siku hiyo ilinisaidia kutoa japo vijihela
Sio gharama za umeme tu machine zenyewe ni very expensiv unless wananua mitumba. Sasa kuna haja gani ya kuwa nay meeeeengi yamrshikilia hela na wakat utilization ni less.???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.