Kugeuza tukio baya na Unyama aliofanyiwa Wakili Msomi Tundu Lissu kuwa MTAJI WA KISIASA ni mtindio wa Akili na Upuuzi unaopaswa kupingwa na kila anayejitambua.
Lissu sio Chadema tu Lissu ni Mtanzania na kila mtanzania atakayeonewa na kufanyiwa dhulma awe mwanasiasa asiwe mwanasiasa wote...
Kwa hakika Allaah ametia Nuru katika kifua chako, Nuru hii hatujapata kuikuta kwa yeyote ispokuwa mzee wa Kimanyema Mohammed Said. Ikiwa ewe ndugu yetu mkarimu unafahamu Tanzania ilikotoka huoni umefika wakati tunahitaji kusikia kutoka kwako Uelekeo au Mustakbali wa Tanzania yasasa? Pia unijibu...
Umenukuu maneno mwenyewe halafu unashindwa kabisa kuyaelewa!!! Kuna maneno gani ya Ubaguzi hapo? "hata hako ka Chadema nitashirikiana nako" hapa kwanza amemsifia mbunge wa Chadema kwa kutumia kiambishi pendezeshi cha "Ka"
Lakini ili huyo mbunge anayemsifia kwa kutumia kiambishi pendezeshi cha...
Kazi ya media za serikali ya TZ ni KUSIFU na KUABUDU yale yanayofanywa na Watendaji wa serikali yao, jukumu la WHAT, WHY and HOW questions sio jukumu lao hata siku moja, ukitaka uyaone maswali ya namna hiyo unayotaka au ukitaka ukutane na Watangazaji wasiokuwa makada wa Pumba Fm tazama...
Karibu asilimia 90% ya watu wanaokufa hufa ilhali wakiwa katika masikitiko na majuto makubwa sana.
Sababu kubwa inayowafanya watu hao kuwa katika hali hiyo ni swali JE KIVULI CHAO KITAISHI AU KITAKUFA KAMA WAO? (fasihi)
Wapo wazee wetu wengi ambao Mungu aliwapa umri mrefu wakapata nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.