Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
akiwa mipango ndo alipanga na kusimamia mpango wa mageuzi ya kisiasa na kiuchumi(structural adjustment programe),ndiyo yalizaa mfumo wa soko huria na mfumo wa kisiasa wa vyama vingi,lilikuwa agizo la wordbank.Mema yepi, ebu tukumbushe mkuu. Au unazungumzia kujenga misikiti kwenye kila shule ya serikali?
Na kwakuwa siasa ya ujamaa ilikuwa imeua uchumi wa nchi pia alipanga na kusimamia mpango wa National economy recovering programme.
By recovering hapa waka initiate kubana matumizi,safari za nje zikaminywa,watumishi walipunguzwa pamoja na kuanzisha costsharing katika huduma za elimu na afya,
huo ndo ukawa mwanzo wa kujinasua kutoka katika uchumi wa kufunga mkanda uliokuwepo baada ya vita vya uganda.
Malima alikuwa kwenye cabinet toka miaka ya 1981
