mundu mkongw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 202
- 88
Zitto ana damu ya Burundi Magufuli ya Rwanda connect the dots."Wabunge wote nitashirikiana nao hata na hako kanakotokana na CHADEMA (Kasuku Bilago) katakuwemo tu, ila Buyungu siku nyingine mchague vizuri, huyu mbunge ananiomba maji kama ana uwezo si alete yeye? Miradi yote inaletwa na CCM" JPM, Kakonko, 21/07/2017.
"Zitto ni mpinzani lakini anapenda maendeleo. Na mimi nitaleta maendeleo kwa sababu mbunge wenu anachapa kazi, hachapi maneno. Tatizo la maji hapa litakuwa historia" JPM, Kigoma, 22/07/2017.
MyTake:
Wabunge wawili, tena wote wa upinzani. Mmoja anabaguliwa, anadhihakiwa, anabezwa hadharani na kuitwa "ka mbunge ka Chadema", mwingine anasifiwa na kuitwa "mchapakazi, anayependa maendeleo". Halafu mtu huyohuyo anaomba aombewe na kusema anapenda haki na usawa. Anyway Mungu yupo.!!
Maneno ya KIBAGUZI hapo angelisema mwingine maneno kama "....... hako kanakotokana na CHADEMA (Kasuku Bilago) katakuwemo tu, ila Buyungu siku nyingine mchague vizuri, huyu mbunge ananiomba maji kama ana uwezo si alete yeye? Miradi yote inaletwa na CCM" JPM, Kakonko, 21/07/2017.
Simpingi Mtukufu Mkuu wetu wa nchi ila sitaki kuamini kwamba CCM ndio pekee wanaolipa KODI ambazo zinaleta maendeleo ya nchi yetu adhimu. MKUU ANGELIFUTA VYAMA LIBAKI LICCM PEKE YAKE ili tupate fursa za kunyamaza tukijua hakuna tena demokrasia wala katiba inayoviunda vyama na utashi wa kukosoana.
Karma inasema "positive attracts positive" and "negative attracts negative".Kama hii kauli imetolewa na rais, basi ningeshaur tuwe na Magogoni Modern Taarabu kabisa manake, najisikia aibu kama kweli rais wa nchi aliongea kauli ya hovyo namna hii!!! Halafu wakitokea watu wakamtolea lugha chafu na maudhi, wanatokea wapumbavu wengine wanasema eti Rais anapaswa kuzungumziwa kwa staa wakati yeye mwenyewe ulimi wake umekosa staa!!!
Ingawaje sheria inataka Rais aheshimiwe lakini assumption ni kwamba Rais mwenyewe atakuwa ni mtu wa kuheshimu watu wake. Kauli ni moja ya heshima za Kiafrika. Huwezi kuita mwanadamu mwenzako anayestahili utu na kuheshimiwa eti "hako...!"
Kama watu wenye akili timamu wataendelea kutarajia kauli bora zaidi ya aina hiyo toka kwa sizo basi watambue kumekucha na ndoto zao haziwezi kuendelea!Kiuhalisia muda flani mkulu hatumii busara! hayo sio maneno ya kuongea kwa kiongozi mkubwa wa nchi!!
Kwa haraka naona...
1. Dharau
2. Uchama
3. na kauli za kuleta utengano katika jamii!!
Nadhani ningekua huyo mbunge nisinge kaa kimya, hapo hapo ningempa ukweli wake!!!
Magufuli anajitahidi kama rais ila ni vyema akaangalia kauli zake kwa watanzania!!
"Wabunge wote nitashirikiana nao hata na hako kanakotokana na CHADEMA (Kasuku Bilago) katakuwemo tu, ila Buyungu siku nyingine mchague vizuri, huyu mbunge ananiomba maji kama ana uwezo si alete yeye? Miradi yote inaletwa na CCM" JPM, Kakonko, 21/07/2017.
"Zitto ni mpinzani lakini anapenda maendeleo. Na mimi nitaleta maendeleo kwa sababu mbunge wenu anachapa kazi, hachapi maneno. Tatizo la maji hapa litakuwa historia" JPM, Kigoma, 22/07/2017.
MyTake:
Wabunge wawili, tena wote wa upinzani. Mmoja anabaguliwa, anadhihakiwa, anabezwa hadharani na kuitwa "ka mbunge ka Chadema", mwingine anasifiwa na kuitwa "mchapakazi, anayependa maendeleo". Halafu mtu huyohuyo anaomba aombewe na kusema anapenda haki na usawa. Anyway Mungu yupo.!!
Kiuhalisia muda flani mkulu hatumii busara! hayo sio maneno ya kuongea kwa kiongozi mkubwa wa nchi!!