Recent content by Faraja vitalis

  1. Faraja vitalis

    JamiiForums Tanzania Je, wajua matumizi ya "A" na "THE" katika lugha ya kiingereza?

    Sawa binafsi mwenyewe nimetambua kuna sehemu za huu uzi ni matango pori lakini ni vizuri kwa kuwa napata changamoto na malekebisho.
  2. Faraja vitalis

    JamiiForums Tanzania Je, wajua matumizi ya "A" na "THE" katika lugha ya kiingereza?

    Tumia subtitle mimi pia ni muathiriwa wa lafudhi zao yaani pamoja na ki english cha form 4 ila bila subtitle unanipoteza vizuri tu
  3. Faraja vitalis

    JamiiForums Tanzania Je, wajua matumizi ya "A" na "THE" katika lugha ya kiingereza?

    Maneno "a" pamoja na "the" ni kifungu cha mameno ambayo huwa yanatumika kama utambulisho wa nomino katika lugha ya kiingereza .utofauti wa haya maneno mawili ni: "A" hutumika kutambulisha nomino ambayo haina umbo maalum.kwa mfano:- tuchukue nomino ambayo haina umbo maalum kama "maji" basi...
  4. Faraja vitalis

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana njia wanazotumia MATAPELI

    Matapeli siku zote hawatoisha lakini pia wajinga hawatoisha by then unapoliwa kichwa ndio haswa muda wa kujifunza na kujitathmini upoje katika kung'amua ishu yoyote ile ya utapeli
  5. Faraja vitalis

    JamiiForums Tanzania Mume wangu leo tunakunywa chai na nini ..?

    Kipolo cha dona au tupige pasi ndefu
  6. Faraja vitalis

    JamiiForums Tanzania Ching Shih: Haramia hatari kuwahi kutokea

    Ndio wakudanlodiwa huyu mbona mdomo kama kanywa juisi ya aloevera
  7. Faraja vitalis

    JamiiForums Tanzania Je, hali hizi hutokea mwilini mwangu pekee?

    Lengo haswa ningependa kushare kama kuna ambaye ana ufahamu au baadhi ya vitu ambavyo hunitokea katika mwili wangu tangu utotoni mpaka sasa na pia kama kuna mtu naye humtokea basi ningependa nifahamu. Tukio la kwanza, ni pale ninapomaliza kula then nikanywa maji basi baada ya muda mfupi tu huwa...
  8. Faraja vitalis

    JamiiForums Tanzania Namba 14: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar. Arejesha fomu hiyo

    Yaani huyu mpuuzi alikuwa anatangaza matokeo ya uchaguzi huku akiwa ana kadi ya CCM mfukoni halafu wanatokea watu wanakuambia kuna tume huru tanzania
  9. Faraja vitalis

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Chama cha ACT-Wazalendo chapokea 21 waliokuwa Wabunge wa CUF

    Naviona vijikofia na hijab hii inaonesha wajumbe walio dominate kwa wingi ni wa kutoka zenji
  10. Faraja vitalis

    JamiiForums Tanzania Baada ya Polisi Dar Kufuatilia kifo cha Mercy Mukandara, Mumewe Edward Bukombe akili kumuua

    Mh! haya Sisi mabachelor mbona mnatutish kwa kweli. kwa news kama hii
  11. Faraja vitalis

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    Hivi SAIBABA express yupo kweli? au na yeye ndio anachechemea
  12. Faraja vitalis

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera: Watanzania wanaishi maisha ya hofu na mashaka katika utawala wa Rais Magufuli. Je, hili lina ukweli wowote?

    Ndio ila kuna mijitu itasema wanatumwa na mabeberu. Kuna tukio limetokea juzi tu lile la kukatwa kwa matangazo ya kipindi cha ajenda 2020 inaonyesha jinsi waendeshaji wa kipindi walivyokuwa na hofu ya kupigwa kofi na serikali kupitia chombo cha dola kwa kuruhusu pambalu kuanika madhaifu ya...
  13. Faraja vitalis

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Komando Dogo: Jambazi aliyezua mtafaruku kati Tanzania na Burundi

    Huenda Kigogo 2014 akawa kama komando dogo wa mtandaoni ngoja tusubiri muda utaongea
  14. Faraja vitalis

    JamiiForums Tanzania Tumedanganywa tena, Tanzania haimo katika nchi kumi uchumi wake unaokua barani Afrika. Ukuaji wa 7% hautambuliki kimataifa

    Wananchi wa mataga ndio wakudanganywa sio sisi watz
Back
Top Bottom