JUZI NIMEMSIKIA ANANIAS EDGAR AKISIMULIA TAARIFA ZILE ZAKE....MARA HII ALIKUWA AKISIMULIA KUHUSU VILE GOOGLE IMEFUNGUA BRANCH YAKE KENYA...NA AKAJARIBU KUELEZEA SABABU GANI ZINAZO FANYA MA KAMPUNI MENGI MAKUBWA KUWEKEZA KENYA NA SIO NCHI ZINGINE BARANI AFRIKA..KILICHONISHANGAZA NI SABABU...
wewe joto la jiwe hebu sikiza....unasema kenya hatuna chakula na ajira???? je waelewa unachosema kweli????? sisi kenya gdp yetu sahii ni almost 115 tumewashinda tz na almost 40 to 50 billion dollars...fikiria kw amakini.
Je unajua ninini huleta gdp ikwa juu....ni ajira kwa wingi yaani mazao ya...
KUNA FLY OVER UGANDA UNDER CONSTRUCTION..IKIKAMILIKA ITAKUWA SMART KULIKO UBUNGO...NDIO MAANA HUWA NAJIULIZA ...MBONA WA TZ WASINSHINDANE NA UGANDA NA RWANDA WHO ARE THEIR PEERS IN MATTERS DEVELOPEMENT WAACHANE NA SISI TUSHINDANE NA NIGERIA EGYPT AND SAUZ AFRICA
Je watanzania mwajua tunamaanisha nini tukisema mahewa tunapewa?Wimbo swaffi ..kiswahili kiko Kenya pia..lakini tz mko juu yetu...hapo kwa swa...kwa maana.. katika maisha yangu yote..Kuna maneno sijawahi kutumia..na nikiamua kutumia..wakenya wenzangu wataniona kaa ambaye nimepagawa....maneno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.