Wenzao wanaweka kama deni ila wakati tayari amepata huduma asa why hawa walimfanyia ukatili huo kama ni kweli kuna ulazima madaktari kuwajibishwa vikali ila serikali yetu hii utakuta anahamishiwa kituo
Mnafurahia mabeberu kuja nchini na hamjui nd tunazidi kunyonywa unaomba msaada wao wanakuja kukomba utajiri alafu unasema tunafumisha uhusiano inabidi ije itokee tupate raisi mzalendo kama jpm au Museveni hawana shida na misaada ya nje lakn bado nchi zetu zinazalisha viongozi ambao bado ni dependacy
Wanawake mnavunja ndoa zenu kwa mikono yenu wenyewe mwanaume kama anakujali na kukupenda na kukuheshimu basi inatosha hakuna haja ya kujua kama ana kupenda kweli au lah amini tu siku akijua ni wewe mkewe hyo ndoa haitadumu hata kidogo mtaachana tu coz ataamini huna imani nae
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.