Recent content by FancyNancy

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kuwavua nguo zote watoto wakati wa kuwapima uzito kliniki ni udhalilishaji

    Kwakweli hadi niliacha kwenda clinic zinataka umvue mtoto nguo. Sitasahu siku moja nikamvua adi diaper halafu nikamvalisha lile chupi la kumning'iniza kwenye mzani basi ile anataka kupandishwa tu si akajisaidia Sitakaa nisahau yani shughuli yote ikaharibika manake kila sehemu kukachafuka afu...
  2. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je,unachokipata kwenye ndoa ndicho ulichokitegemea?

    🤣🤣🤣🤣nimecheka jamani
  3. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale mliooa je mnashughulikiaje hili tatizo

    shida huwa inaanzia kwenu wanaume unakuta umetoka asubui home hata hujui mwenzio kaamkaje unashinda huko kazini hata kumkumbuka mwa msg hakuna afu unarudi home unataka sex kweli? msichojua wanaume ni kwamba kwa wanawake sex huwa inaanzia kichwani lakini nyie ukishikwa tu hapohapo tayari kuwa...
  4. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu kumpenda mume wa mtu ni sahihi?

    hakuna shida kupenda ila kuanzisha mahusiano ndo shida ilipo
  5. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu kumpenda mume wa mtu ni sahihi?

    hakuna shida kupenda ila kuanzisha mahusiano ndo shida ilipo
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

    dah!mkuu hiyo username yako nimeielewa mno hii series ya dong yi umeicheki nawe? yani umenikumbusha mbali kweli
  7. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina wivu sana kwa boyfriend wangu

    achana nae huyo manake hakufai
  8. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama mkwe kajichimbia naona shida kumtoa

    familia zetu hizi shida tupu ndo mana hata unakuta romantic moments ndani ya ndoa zinapungua mara mama mkwe mara shemeji sa ngapi mtu utampiga busu mpenzi sebleni? watu macho juujuu na masikio yamewasimama kama andazi la nazi ndoa inapaswa kuwa mke mume na watoto Hao wengine waje then wasepe asa...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru: Kura za maoni kwa baadhi ya maeneo nchini kurudiwa upya

    dah😂😂😂😂😂
  10. F

    JamiiForums Tanzania It might be the wrath of God

    Nigerian phophet alisemaje kwani?tuanzie hapo?
  11. F

    JamiiForums Tanzania Ni nini hasa uspesho wa iPhone?

    ni kwasababu inaitwa Iphone na sio jina lingine
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ni nini hasa kilimpata huyu jamaa? Inasikitisha sana

    tunasubiri story nzima ya macmuga sijui mac morgan na sie tujifunze
  13. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanaumwa au wamerogwa?

    Cha kuzingati ni kimoja tu usikose mlima wa moto jpl! naona kabisa upepo ushaanza kukuperusha adi ikifika jumapili basi utakua ushakufikisha mlimani
  14. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Punguza Matarijio, utaepuka Kunung'unika!

    kuna mtu ashawai kuniambia never raise your hopes up so that you don't get hurt!
  15. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapi niende kwa mapumziko ndani ya Tanzania

    chattle moja hiyo
Back
Top Bottom