Je,unachokipata kwenye ndoa ndicho ulichokitegemea?

Je,unachokipata kwenye ndoa ndicho ulichokitegemea?

Ndoa ni zaidi ya ngono..Kuna mengi yanayotarajiwa uingiapo ndoani sio tendo pekee..Kama umeingia ndoani na unapata vyote furahia ndoa yako..na Kama umeingia ndoani umepata vichache Kati ya vile ulivyovitegemea furahia pia..kuchepuka sio suluhu.
 
Mbona hayo yapo kwenye u GF & BF kwenye ndoa majukumu yanawachosha mpk mnasahau km mnalala pamoja
ha ha ha ha ni kweli mkuu,ndio maana huwa wanauliza maswali zile out za zamani mbona siku hizi hazipo?
 
Ndoa ni zaidi ya ngono..Kuna mengi yanayotarajiwa uingiapo ndoani sio tendo pekee..Kama umeingia ndoani na unapata vyote furahia ndoa yako..na Kama umeingia ndoani umepata vichache Kati ya vile ulivyovitegemea furahia pia..kuchepuka sio suluhu.
Nakubaliana na hoja yako
 
Nilicho Kipata Ni Tofauti Kabisa Kwasababu Niliwaza Ndoa Mwezangu Aliwaza Pesa Shida Ikaazia Hapo.
ha ha ha sasa mkuu umelitatuaje hilo? Ndoa imevunjika au mnavumiliana?
 
ha ha ha sasa mkuu umelitatuaje hilo? Ndoa imevunjika au mnavumiliana?
Mkuu Watu Wenye Mitazamo Miwili Tofauti Sidhani Kama Wanaweza Kuishi Pamoja. Kifupi Niseme Tu Kila Mtu Yupo Na Hamsini Zake Ili Maisha Yaendelee.
 
Back
Top Bottom