Punguza Matarijio, utaepuka Kunung'unika!

Punguza Matarijio, utaepuka Kunung'unika!

Ukweli mtupu. The best way to deal with anyone as predict their next disappointment. Tegemea disappointment, na ikishafika basi jiandae for the next. Ndo maana wengine tukiwa disappointed, we laugh at the offender. Becoz we saw it coming, lol.
Afu kuna useless mmoja kidogo angenikera. Ngoja nikalipulize kwanza.

I hope kulipuliza ni kwa furaha (leisure yako) na sio kwa ajili yake (wengine they are not worth hata muda wa mtu) 🙂

Ila sometimes kumwonyesha mtu kwamba amekuboa inasaidia kuondoa stress
 
Blessed is he who expects nothing, for he shall never be disappointed

Mara nyingi maumivu au depression inawafika wengi wenye matarijio makubwa, (hata kwenye urafiki na mahusiano).

Kwanini utegemee kupata wakati kukosa pia kupo; utegemee mtu wakati watu wana mapungufu.

Nadhani usipotegemea kupata, ukipata inakuwa ni Bonus.., na ukitendwa utasamehe, hata usiposamehe ukifanyiwa Jema utashukuru zaidi sababu hukutegemea.

Sisemi don't trust people, lakini imperfections is what makes us perfect.


Well said mkuu na hamna la kuongeza apo, I once believed (when young) that the most smartest person is the one who sees that no one can be the smartest person.

Nmekua na nmegundua I was right, mans greatest achievements technologically ni baada ya kuamini/kugundua kwamba Man is Imperfect always but he can invent somethings that can behave perfectly to other man's eyes.
 
The thing to me is: if you don't expect anything
you won't fight hard to see your dreams come true
and you will end up stuck in a lukewarm kind of life.
Huwezi kuacha ku-expect, kisa uoga wa disapointment.
huwezi kuogopa kuamka sababu unaogopa utalala
It is the normal way of things. black and white.
Sometimes you get, sometimes you don't, but it's all fine
instead, train yourself to not take disappointment too deeply
 
Sometimes you get, sometimes you don't, but it's all fine
instead, train yourself to not take disappointment too deeply

Yup, in other words learn how to take disappointment(s) in stride.
 
The thing to me is: if you don't expect anything
you won't fight hard to see your dreams come true
and you will end up stuck in a lukewarm kind of life.
Huwezi kuacha ku-expect, kisa uoga wa disapointment.
huwezi kuogopa kuamka sababu unaogopa utalala
It is the normal way of things. black and white.
Sometimes you get, sometimes you don't, but it's all fine
instead, train yourself to not take disappointment too deeply

Nadhani its desire rather than expectations ambazo ni fuel kwa mafanikio yetu; sisemi kwamba usitegemee kupata kitu (mfano ukitoa pesa dukani obviously utategemea kupata bidhaa) Lakini maana yangu ni ile issue ya No Strings Attached, yaani ukitoa au kufanya kitu kutegemea kurudishiwa.., mfano:-


  • Unapopeleka mtoto shule je unategemea kwamba atapata kazi akusaidie au unampeleka tu atoe ujinga hata ukijua kwamba hawezi kuelimika bado utampeleka
  • Unapotoa mchango wa harusi kwa rafiki yako unategemea na yeye atoe kwako au unatoa tu kwa kumsaidia
  • Ninapoongea na wewe hapa vizuri au ninapokuwa very nice kwako nategemea kwamba kesho nikikutaka utanikubali au am just happy ku-exchange ideas
  • Kama ungejua fulani ten years from now atakuacha Je ungeacha kumpenda leo au just companionship yake for ten years ni furaha tosha.
  • Unapompa gift rafiki ndugu yako kwenye sherehe yake unategemea na yeye akupe au just the happiness yake kwa kupokea ni tosha au hata asipo-appreciate itapunguza umuhimu wa gift hio kwake.
Kwahio ndio maana nikasema punguza matarijio (over-expectations) wala sio kwamba kuogopa disappointments.., hizo disappointment zipo ndio maana hata kama tunajua njia fulani kuna miba sio kwamba tunaacha kupita huko bali tunajiandaa kwa kuvaa viatu, we accept the inevitable kabla sio kuogopa bali acceptance
 
God grant me the serenity to accept the things I cannot change, the courage to change the things I can, and the wisdom to know the difference
 
kuna mtu ashawai kuniambia
never raise your hopes up so that you don't get hurt!
 
Those who we love the Most.., Hurts us the Most
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom