Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,639
- 19,307
Ni simu tamu sana hiyo lakini cha zaidi yaani uspesho wake ni jina lake kubwaDaah! Mbona uzi hautembei.
Hivyo wale ambao mnatumia Iphone mmeshindwa kuja kutuambia huo uspesho angalau na mie nishawishike kumuomba Sesten Zakazaka aninunulie. 😎😎😎
Kauli yako kwangu ni amri ujue Shadeeya 😎😎😎😉