Kuna viongozi wanakaa ofisini wanataka kutatua matatizo makubwa kwa akili ndogo, wanasema msipande mahindi maeneo ya mjini kwa kuwa yanaleta wezi/vibaka pasipo kujua sababu za msingi za wezi/vibaka.
Je hao wezi/vibaka hawawezi jificha maeneo mengine licha ya kutokuwepo kwa mahindi?
Hao waliokata...
Ni kweli Mwanza imekuwa na shida ya maji hususani maeneo ya nje ya mji mfano Buhongwa. Wananchi wanapata maji kwa mgao, wengine wanaweza pata mara moja kwa miezi miwili
Haya ndio mawazo ya kujenga, umeeleweka vema mkuu.Inauma sana kusikia mtu anasema analinda uchumi badala ya maisha ya watu.
Msema kweli ni MUDA. "Time will tell"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inanikumbusha zamani sanaa tulipokuwa tunasoma, tulisoma hivi;
MAADUI WATATU WA TAIFA
1.Ujinga
2.Maradhi
3.Umasikini
Naamini namba 1&3 ndio chanzo cha hili tukio
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera, kwa kuleta uzembe darasani, na sasa umeyapata uliyoyataka, hongera kwa kuwa "Rubani mwandamizi wa jiko la mhindi"
Sent using Jamii Forums mobile app
pambana tu na hali yako, ulitaka kazi hizo wafanye akina nani? wewe kama msomi lazima uwe na malengo, mbona jamaa kibao wana degree walianza kwa vibarua vya kulisha nguruwe, leo hii ni wafugaji wakubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.