Mshana Witch project

Mshana Witch project

Mshana mimi nahitaji sayansi ya Kiafrika ya kuwadhibiti wezi kuanzia shambani, kwenye mifugo hadi kwenye makaazi yangu
Hii watafute wamasai na wafugaji wengine ni mahiri kwenye hii kaliba
 
Kila la kher kwenye project🙏🙏🙏 kazana sana kuliroga jiwe ikiwezekan lisifike hata tareh 28
 
Mshana wewe Kabila gani? Na ni kweli mganga au mana nikipia jukwaa nyingi huku wakianza mambo ya ushirikina utaona mtu anakoment mshana Jr naomba kujua
 
Nina mchango mkubwa sana kwenye kufisha na kufifisha nyota ya chama pendwa
Nimeroga sana hapo kabla lakini mwaka huu nimeroga mpaka jasho langu likawa linanuka uchawi
Nilijenga vilinge majini
Nikajenga vilinge ardhini
Nikajenga na angali
Nimepandikiza gundu kwenye rangi za chama
Wagombea nikawatupia gundu la kinyesi..mkubwa kabisa nikampiga jini kisirani
Nimeroga wala sijisifu ..nimeroga mpaka uchawi ukanikifu

Malighafi zangu maarufu zilikuwa ni
Maji ya gundu
Maji ya janaba bichi
Damu Chafu
Majani ya mkafiri
Nyota ya nuksi
Kinyesi cha popo/ngozi ya kinyonga
Mizizi ya mti chonganishi

Nikavaa koti la ugaguzi..walipokuja nikawapiga gundu wajumbe wakawaona kama maliwato ya jiji
Nikavaa koti la ulokole walipokuja kwa maombi nikawapiga muhuri wa upofu na kuzima nyota zao...walipojitokeza upenuni wajinadi wakakimbiwa na kuzomewa...

Nimejenga madhabahu za giza nyuani mwao
Nikajenga zingine kondeni
Na zingine kwenye mapito yao..hakuna nilipobakisha...na kila waliporudi kwangu kulalamika nikawaambia wamekosea masharti

Project inaendelea..huu ni mrejesho sehemu ya kwanza...mkiona wanakimbiwa..tambueni kuna miba za nungunungu zimetegwa kila pahala...
Utamlogaje asiye logeka?. Utamlaanije asiye laanika. Hayo mashomo uchimbayo juu ya hawa wa kijani, utatumbukia mwenyewe.
 
nimesikitika sana ungeliinbox nikajazia ufundi wangu wa adhimu wa kijerumani ambao ndio mkali kuliko wowote ule duniani ndio ufundi hu hu tuliofichia mali zetu nchini mwenu na hata mafuta pia tuliyaficha pia
 
Mshana wewe Kabila gani? Na ni kweli mganga au mana nikipia jukwaa nyingi huku wakianza mambo ya ushirikina utaona mtu anakoment mshana Jr naomba kujua
mimi chotara wa kabila kama 5 hivi...nilifanya uchawi na ulozi hapo kwanza halafu nikaacha kwa muda...huu ninaofanya saivi ni bonus tu ya uchaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina mchango mkubwa sana kwenye kufisha na kufifisha nyota ya chama pendwa
Nimeroga sana hapo kabla lakini mwaka huu nimeroga mpaka jasho langu likawa linanuka uchawi
Nilijenga vilinge majini
Nikajenga vilinge ardhini
Nikajenga na angali
Nimepandikiza gundu kwenye rangi za chama
Wagombea nikawatupia gundu la kinyesi..mkubwa kabisa nikampiga jini kisirani
Nimeroga wala sijisifu ..nimeroga mpaka uchawi ukanikifu

Malighafi zangu maarufu zilikuwa ni
Maji ya gundu
Maji ya janaba bichi
Damu Chafu
Majani ya mkafiri
Nyota ya nuksi
Kinyesi cha popo/ngozi ya kinyonga
Mizizi ya mti chonganishi

Nikavaa koti la ugaguzi..walipokuja nikawapiga gundu wajumbe wakawaona kama maliwato ya jiji
Nikavaa koti la ulokole walipokuja kwa maombi nikawapiga muhuri wa upofu na kuzima nyota zao...walipojitokeza upenuni wajinadi wakakimbiwa na kuzomewa...

Nimejenga madhabahu za giza nyuani mwao
Nikajenga zingine kondeni
Na zingine kwenye mapito yao..hakuna nilipobakisha...na kila waliporudi kwangu kulalamika nikawaambia wamekosea masharti

Project inaendelea..huu ni mrejesho sehemu ya kwanza...mkiona wanakimbiwa..tambueni kuna miba za nungunungu zimetegwa kila pahala...
!!!
 
kwani hata yakila utaona? Huoni ila hamu ya kupiga puchu itaongezeka hapo tambua jamaa wanataka tena
Mkuu wa Anga nimeangalia kwa haraka kuna shida na yama au nchi i nyingi zenye rangi ya kijani bendera zake Kindumba hii inamaana gani
 
Back
Top Bottom