Kuna ubaya wowote kumla mtu safarini?

Kuna ubaya wowote kumla mtu safarini?

Jambo.

Mzee wa kasumba nipo safarini naelekea MWANZA natoka MBEYA.

Jirani yangu hapa ni mtoto mkali flani hivi. Uzalendo ukanishinda ikabidi nimtupie swaga. Baada ya mikiki mikiki kidogo hatimaye vocal zikaeleweka.

Sasa basi---_
Magari haya ya MBEYA - MWANAUME huwa yanalala njiani sehemu iitwayo IGUNGA. hapo tumepanga kwenda kubomoana Kisha asubuhi tunaendelea na Safari.

Swali:_ kwa

Wanasayansi/wahenga/waganga/wanajimu/wachungaji nk

Je kuna ubaya wowote kumgegeda mwanamke safarini???

Asanteni.

CC: Zero Iq

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ulimwengu wa sasa ni kawaida kabisa. Mimi nmewai kusafiri na demu wa at Agustin Mwanza nkiwa nae safarini nlimtongoza Ila sikumla mambo siku hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza ukadhani Unamla Mdada kumbe anakula Wewe , Unapodhani wadada ni rahisi kukukubalia ndani ya nusu SAA, yeye pia kakuona Wewe ni rahisi kumpenda ndani ya dk 5, Hapo wote hamjielew
 
Jambo.

Mzee wa kasumba nipo safarini naelekea MWANZA natoka MBEYA.

Jirani yangu hapa ni mtoto mkali flani hivi. Uzalendo ukanishinda ikabidi nimtupie swaga. Baada ya mikiki mikiki kidogo hatimaye vocal zikaeleweka.

Sasa basi---_
Magari haya ya MBEYA - MWANAUME huwa yanalala njiani sehemu iitwayo IGUNGA. hapo tumepanga kwenda kubomoana Kisha asubuhi tunaendelea na Safari.

Swali:_ kwa

Wanasayansi/wahenga/waganga/wanajimu/wachungaji nk

Je kuna ubaya wowote kumgegeda mwanamke safarini???

Asanteni.

CC: Zero Iq

Sent using Jamii Forums mobile app

Hasara yake ni kuwa hamjuani…..unaweza mgegeda kumbe mwenzio ana ngoma anakwenda kufia kwao, wewe unaingia kichwa kichwa na kulivaa. Hongera, nakutakia gegedo njema.
 
Jambo.

Mzee wa kasumba nipo safarini naelekea MWANZA natoka MBEYA.

Jirani yangu hapa ni mtoto mkali flani hivi. Uzalendo ukanishinda ikabidi nimtupie swaga. Baada ya mikiki mikiki kidogo hatimaye vocal zikaeleweka.

Sasa basi---_
Magari haya ya MBEYA - MWANAUME huwa yanalala njiani sehemu iitwayo IGUNGA. hapo tumepanga kwenda kubomoana Kisha asubuhi tunaendelea na Safari.

Swali:_ kwa

Wanasayansi/wahenga/waganga/wanajimu/wachungaji nk

Je kuna ubaya wowote kumgegeda mwanamke safarini???

Asanteni.

CC: Zero Iq

Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua uma na kisu dingi..mpitishe nyuma ya basi akakutane na Mzee kipara ampakue
 
Jiheshimu,iheshimu na familia yako au mpenzi wako uliye naye. Kwahiyo kila sehemu ukisafiri utakuwa ukikutana na demu mkali uzalendobutakushinfa na kuanza kumtongoza ili umgonge? Sasa hivi maisha yanabana wanawake wengi wanajirahisisha kwa namna mbalimbali. Just be smart. Ridhika na uliye naye. Tulia usimletee magonjwa yasiyo na sababu

Sent using Jamii Forums mobile app

Huenda mleta mada ndio kajirahisisha hapo😀😀
 
Back
Top Bottom