Dereva wa basi La Isamilo Afariki Dunia Akiwa Njiani

R.I.P

ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
 
Kwa heshima ya ubinadam kuliwekwa spesho kesi kwa maiti ya mwanadamu mkuu
Umuhimu kwa maiti ya binaadamu ni kule kuitwa maiti, kuku, bata, ngombe, mbuzi na wanyama wote huwa hawaitwi maiti zaidi ya kuitwa mizoga.

ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
 
RIP sana kwa dereva. Pole nyingi kwa familia, ndugu jamaa na watanzania kwa ujumla akiwemo tajiri mwenye mabasi.

Ndugu mtoa habari na muwasilisha uzi, naomba wakati mwingine useme maiti amehifadhiwa na sio maiti imehifadhiwa............
Mkuu wewe ndio hujui kiswahili. Kiswahili alichotumia mleta mada ni sanifu kabisa.
 
Shinyanga. Dereva wa Basi la Isamilo linalofanya safari zake kutoka Mwanza kwenda Mbeya nchini Tanzania Sebastian Mathias (43) mkazi wa Mwanza amefariki dunia wakati akiendelea na safari kutoka Mbeya kwenda Mwanza.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga, Deborah Magiligimba amesema tukio hilo limetokea leo Ijumaa Machi 20,2020 saa nne asubuhi.

Kamanda Magiligimba amesema Sebastian wakati akitoka Mbeya kwenda Mwanza alikuwa akijisikia vibaya walipofika Singida ndipo hali yake ilibadilika wakawa wamebadilishana na dereva mwenzake.

“Katika basi hilo, madereva walikuwa wawili lakini baada ya kuona hali yake imebadilika alibadilishana na mwenzake yeye akaendelea kupumzika lakini walipofika saa nne asubuhi akawa amezidiwa sana, wakambeba na kumpeleka katika kituo cha afya Tinde," amesema Kamanda Magiligimba.

Magiligimba amesema baada ya kumfikisha hospitali daktari alibaini kuwa tayari Sebastian alikuwa ameshafariki dunia.

Amesema kwa kuwa gari lina madereva wawili, dereva mwingine ameendelea na safari kwenda Mwanza na maiti imehifadhiwa katika kituo cha afya cha Tinde.

View attachment 1393946

Sent using Jamii Forums mobile app
Saa nne asubuhi basi limekwishafika Singida toka Mbeya! Huko Mbeya liliondoka saa ngapi?
Poleni wafiwa wote.
 
Polisi wasiwaongezee msongo madereva. Madereva wa mabasi hawa wananyanyaswa mno na hawa polisi trafiki barabarani.
 
Atakuwa alikuwa mgonjwa sana akajilazimisha kusafiri.
Apumzike kwa amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mara nyingi inakuwaga hivyo,yote hayo ni sababu ya umasikini ukisema ujilegeze wakati mke na watoto wanataka mahitaji yatatoka wapi? Wanaume ni lazima tuheshimiwe RIP dereva
 
Poleni sana bora kafia hospital maana angefia kwenye steling sijui ingekuwaje
 
Back
Top Bottom