Recent content by faloyce2001

  1. F

    Hizi simu zinawakera kama zinavyonikera mimi?

    Hata mimi Tigo wananichosha kabisa. Kutwa nzima ni meseji au simu kutoka kwenye automated system. This is chaos. TCRA wanajaza tu matumbo yao hakuna control yoyote wanayo-exercise hapa. They are simply foolish.
  2. F

    Germany president resigns over finances scandals

    Hivi wewe umemaliza japo chekechea kweli?! Yaani kiongozi wa ujerumani na Chadema wapi na wapi? Tafuta kazi ya kufanya bwana.
  3. F

    Makampuni ya Simu yakiongozwa na TIGO ni wizi mtupu. Tuyagomee ili yaache kutuibia

    Ama kweli tigo ni tigo haiishi kunuka hata usafishe vipi!! Mimi nahamia kwenye basi kubwa jekundu
  4. F

    Hapana huyu si kioo cha jamii!

    Huyu amevuta mibange si jingine. Duh! Bange mbaya
  5. F

    Makampuni ya Simu yakiongozwa na TIGO ni wizi mtupu. Tuyagomee ili yaache kutuibia

    Hawa regulators wanashibia huku huko hawawezi kuwadhibiti kwani kuna asilimia fulani hutoka kwenye haya makampuni kwa ajili ya kuendeshea shughuli za regulators. So the more the companies fetch from us, the higher the commission given to the regulators. Same applies to sumatra, ewura and others.
  6. F

    Mnyika, Zitto, Januari, Kafulila, Nape kuanzisha Jukwaa la viongozi vijana?

    Mnyika nz Zito please msiingie huko. Kwanza mmepata baraka za chama? Tafadhali msijichanganye na magamba mtaharibikia ukubwani kama bamia.
  7. F

    Mama Lwakatare acha ulaghai

    Mama Lwakatare kwa kutumia ulaghai na kofia ya kuwasaidia watoto yatima aliuziwa nyumba za shirika la bima pale tabata Bima. Alidanganya kuwa anataka kufungua kituo cha watoto yatima ili auziwe kwa bei bwerere. Alichofanya baada ya kuuziwa ni kuchukua watoto kumi wa ndugu zake na kuwaweka...
  8. F

    Wahesh; Wabunge WANAWAKE tatizo ni Ninyi, WAUME zenu ama UKWASI wenu

    Wengi hawawezi kwenda bungeni na waume zao kwa kuwa wengi wao wameingia bungeni kwa kutumia rushwa ya ngono sasa wanaogopa kugonganisha magari huko dodoma
  9. F

    Makampuni ya Simu yakiongozwa na TIGO ni wizi mtupu. Tuyagomee ili yaache kutuibia

    Naandika tena kuyataka makampuni ya simu kuweka wazi gharama zao za kupiga simu badala ilivyo sasa ya kuibiwa kwa kukatwa gharama kubwa bila taarifa. Kwa mfano Tigo wanadanganya kuwa gharama ya kupiga simu eti ni sh 1 kwa sekunde wakati ni uongo mtupu. Wadau jaribuni kufuatilia mtagundua gharama...
  10. F

    Mawaziri hawa wana tatizo gani?

    Tibaijuka nae kafanya nini hadi umsifie? Au kwa sababu alivunja ukuta wa mwarabu pale palm beach? Baada ya hapo nini kiliendelea kama si kuufyata mkia.
  11. F

    Nchi haiendeshwi na mitandao ya kijamii!!-Salva Rweyemamu

    Safi sana mkuu kwa kuyaona hayo.Salva anaganga njaa ikulu hana lolote.
  12. F

    Baraza la mawaziri kuvunjwa. Mwakyembe, Mwandosya kutoswa

    Weweee! Lukuvi ame-graduate mwaka jana Open University of Tanzania. Ana Masters ya BA Political science.
  13. F

    Tigo acheni wizi wa kijinga,nafungua kesi ya madai

    Ninaandika hoja hii kwa masikitiko makubwa hasa baada ya kushuhudia viwango vya gharama ya kupiga simu vikipanda kinyemela bila kutangazwa. Kwa mfano Tigo wanajinadi kila siku kuwa gharama ni sh 1 kwa sekunde ilihali si kweli hata kidogo. Hebu wadau jaribuni kutia elfu 1 kwenye simu yako ya tigo...
  14. F

    Kama Dr. Slaa anakuwa Rais na CHADEMA inaachiwa nchi leo....

    Nchi haiwezi kuwa na zero balance banaaa. Wewe umesomea wapi? Economics ya sekondary tu inatosha kukufanya uelewe kuwa nchi haiwezi kuwa na zero balance kwani central bank huwa haiondoki na serikali iliyoondolewa madarakani. Likewise TRA wataendelea kukusanya kodi and so forth. Wewe sio great...
Back
Top Bottom