Hapana huyu si kioo cha jamii! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapana huyu si kioo cha jamii!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nimie, Feb 17, 2012.

 1. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Tatizo la kulanduka bana, sasa jamaa mbona anadhalilisha wanaume, wasanii, wanandoa na marasta! kiboxer chenyewe kichafu! Eti aliimba yeye ni kioo cha jamii.
  View attachment 47530
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  i see....
  au alipata majani?
   
 3. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Bange nomaaaaaaaaaa
   
 4. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiki kimeo sio kioo cha jamii labda kioo cha kujamiiana. BHOKO HARAM!!!!!!!
   
 5. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nadhani alooo, aibu gani hii! alafu ni rasta huyu jamaa!
   
 6. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ndo wajanja wetu hao,kazi kweli kweli
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hahahaa kwikwikwi, uwiiiiii Mfumwa Mrungu
   
 8. f

  faloyce2001 Member

  #8
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu amevuta mibange si jingine. Duh! Bange mbaya
   
 9. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Bado ni kioo cha jamii......tatizo kioo hiki kinamuonyesha kwetu mvuta bangi asiyefaa kuigwa.
   
 10. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #10
  Feb 17, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,395
  Likes Received: 675
  Trophy Points: 280
  Hiki ndio kioo cha jamii kweli kweli,nyie mnaobisha hamjui mnabisha nini,nadhani hamjui tabia za kioo,kioo kinaonyesha uzuri na ubaya wa kila ajitazamaye,sasa huyu kaonyesha kuwa pia kuna jamii ya dizaini hii,kioo ni tofauti na sabuni jamani,sabuni kazi yake ni kusafisha tuu,na kioo ni kuonyesha picha halisi,kama kuna uchafu uonekane na usafi vilevile!!Acha kubisha bisha kitu usichokijua hoyaaaa nalimbikisa ujingaaa eee,Mbadoooooooo!!!!
   
 11. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Duuuu, mkuu picha ya mwaka 2001 hii pale diamond jubulee, sikumbuki ilikuwa ni new year eve au lile shindano la mfalme wa rhymes! Kaka tafuta na ile ya kale kademu kalikonogewa na vibao vya shaggy hadi kakaonyesha chuchu zake, unakumbuka lile tuko pale diamond jubilee? Sijui kako wapi kale kabinti aisee!
   
 12. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #12
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Uliona eeeh, kumbe mwana ulikuwepo? Duh lakini sikuipata kwa picha ile move, tusubiri labda kuna mtu anayo atusaidie kuitupia hapa.
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Duhhh aliimba kioo cha jamii loohhhh
  si bora angeimba "I'M SEX & I KNOW IT "
   
 14. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #14
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Aisee hata nyie mlikuwepo, ilikuwa safi sana aisee ila nilikuwa naboreka na zile foleni za kutoka baada ya tamasha kwisha. huwa inakuwa noma kweli aisee. Kako wapi kale kabinti kajamaica-au watu ndo walisha kaharibu, halafu nilisikia dingi wake alikuwa mtu wa dini kinoma!
   
 15. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #15
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Sina hakika na kalipo, lakini wabongo utawaweza huenda walikapitia kama mwewe! ya dini kila mtu atabeba mzigo wake mkuu!
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hilo siyo swali kwa kitendo kama hiki alichokifanya
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwani wote wanaofuga rasta wanaimani za kirasta?
   
 18. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #18
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  bange bange bangeeeee
   
 19. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #19
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Sio wote, na huyu ni mmoja wa hao wasiomo. Ila sijapenda kwa kweli.
   
 20. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #20
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  mr.ebo aliimbaga 'bangi bwana'
   
Loading...