Recent content by faith marie

  1. faith marie

    Mrejesho: Dada wa kazi akimweleza mume wangu siri hii, sina ndoa tena

    I hope wote mko poa after a long weekend, Inakaribia miezi miwili tangu nipate matatizo yaliyonileta hapa JF kwa ushauri. Kwa ufupi, mwezi wa December nilileta habari ya kuhusu Dada wa kazi akimweleza mume wangu siri hii, sina ndoa tena nikiwa na rafiki hapo nyumbani kwetu tukiwa in action...
  2. faith marie

    Namibia clarifies withdrawal from ICC, saying it no longer needs its services

    This minister is far away disconnected from reality, arudi Shule aangalie kwa nn icc ilianzishwa Icc haihusiki na mambo ya democracy or elections, icc inahusika na war crimes na crimes against humanity related cases, Nchi inaweza kuwa na amani leo kesho amani ikapotea, mwaka 2002 wakenya...
  3. faith marie

    Dada wa kazi akimweleza mume wangu siri hii, sina ndoa tena

    Mwaka jana mwishoni hubby na watoto walienda likizo kijijini kama utaratibu wa kila mwaka, nyumbani tukabaki mimi na msichana wa kazi, sikupewa likizo kazini, siku moja msichana wa kazi alinifuma na rafiki hapo nyumbani kwetu red handed na amelitumia suala hilo kama silaha dhidi yangu. Kila...
  4. faith marie

    Dangote yaanza kusambaza cement Tanzania

    Yale yale ya twiga cement
  5. faith marie

    Flaviana Matata amjia juu anayedai kumfikisha alipo

    Pana jambo linanukia hapo
  6. faith marie

    Nauliza: Kwanini Uingereza wanatishia kujitoa EU?

    Hili ni jambo baya sana kwa Uk, watajuta
  7. faith marie

    Muda wa wazungu Macho Bluu kutawala Dunia Umekwisha!

    Sanders? Huyu mbona anachechemea kwenye mbio za urais
  8. faith marie

    TCRA yaifungia video ya "Zigo" wa AY na Diamond

    Tcra wanahusika na nyimbo?
  9. faith marie

    Kuvunjika kwa muungano ndio tiketi ya CUF kuongoza Zanzibar

    Huu sio uchochezi kweli?
  10. faith marie

    Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

    Mungu tunusuru sisi wadhambi
  11. faith marie

    Ujumbe toka uganda jinsi uhuru wa habari ulivyobanwa kwa gharama kubwa.

    Africa africa, unahitaji ukombozi wa mara ya pili
Back
Top Bottom