Recent content by FAHAD KING

  1. FAHAD KING

    JamiiForums Tanzania SoC01 Africa, we need a revolution in math..!

    Pause: "Neighbour, the times they are a-changin'..." __We need a revolution in numeracy, now! If there are no qualified Maths teachers at your childrens' school, don’t complain... Get together with other parents and fix at least this ONE problem now! Why? Because there is ZERO time to waste...
  2. FAHAD KING

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Vanilla nchini Tanzania

    Umenena vyema sana kaka..N vyema tukapata pa kuanzia tena kutoka kwenye source inayoeleweka zaidi Swali kwako:Kwa hapa Tanzania soko la hili zao liko wapi hasa?
  3. FAHAD KING

    JamiiForums Tanzania Niliyekuuzia nyumba yenye mauzauza Bunju nisamehe, sikuwa na jinsi

    Sawaaa!! Nitajitahidi sana Sema kuna siku nililala nikajikuta nje Asee
  4. FAHAD KING

    JamiiForums Tanzania Nahisi nina akili nyingi sana za kutengeneza ideas

    Unapatikana wapi Kaka?
  5. FAHAD KING

    JamiiForums Tanzania Umasikini hurithiwa; masikini huzaa masikini

    Nafikiri hii Quotation ina-summarize karibia kila kitu...Quotation bora sana tena ya kuchongewa FRAME kabisa Au nasema uongo matajiri wenangu???
  6. FAHAD KING

    JamiiForums Tanzania Zijue aina za mitambo mikubwa zinazotumika kwenye shughuli mbalimbali za miradi ya ujenzi mkubwa

    Tupe bei zake chief Nataka kuwekeza huku
  7. FAHAD KING

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji wanaweza angalia na zao la Sugar Beet

    Pia ni maeneo gani hapa nchini ambapo hilo zao linastawi bila shida?
  8. FAHAD KING

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Biashara ya mkonge nchini Tanzania na Changamoto zake

    Mkuu tunaweza kuwasiliana tafadhari
  9. FAHAD KING

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji wanaweza angalia na zao la Sugar Beet

    Mkuu tuelezee na soko lake kwa ujumla.Je, ni lazima kulichakata ndo uuze au unaweza uza hata likiwa shambani?
  10. FAHAD KING

    JamiiForums Tanzania Je ukitumia spidi ya mwanga kusafiri kwenye nyota utakuwa umekwepa miaka uliyoacha hapa duniani na wenzako

    Muda ni Flow Thing wala hakiathiriwi na mzunguko wa Dunia kwa jua.Ni kama Bomba ambalo maji yanapita hivyo mzunguko wa Dunia hauathiri Muda isipokua Gravity ndo inaathiri
  11. FAHAD KING

    JamiiForums Tanzania Nitumie njia gani niisahau pombe?

    Huu ni mwaka wa 20 sasa nashindwa kuacha PUNYETO!!..Ukiweza nambie Tips naweza kuunganisha unganisha nikaweza na mimi
  12. FAHAD KING

    JamiiForums Tanzania Tushirikishe na sisi ni kwa namna gani uliweza kufanikiwa

    Mkuu unafanya kazi Chuo gn asee!! Huenda kuongea na wewe itasaidia sana 🙌
  13. FAHAD KING

    JamiiForums Tanzania Kisa nilichokifanya hadi nikikumbuka huwa nacheka mwenyewe. Tiririikaa na story hii

    Sasa Boss wetu wa SIMBA ameingiaje hapo 😭😭
  14. FAHAD KING

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunapenda kutuma pesa (kwa njia ya simu) kuliko benki ambazo huwa na gharama nafuu?

    Kwani mkuu,unatembea na Simu au Bank?
  15. FAHAD KING

    JamiiForums Tanzania CHADEMA baada ya miaka 28 hatimaye leo imekufa rasmi

    Nipe faida ya TUME HURU ya Uchaguzi
Back
Top Bottom