FAHAD KING
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 301
- 377
- Thread starter
- #101
Vp wewe ulitoka?Sasa we bwege unasema mapambano yanaendelea ilhali ulipotakiwa kuandamana kupinga matokeo ukajiharishia. Leo umeamua kuandamana JF. Hopeless kabisa

Kuondoa ubabaishaji wa viongozi was upinzaniFaida yake ni nini?
Game nyie hamliwezi, subiri huyo Mnyika wako kama ataropoka, na huyo Mbowe kama atajishebedua. Ukitaka kuona uzalendo ona jinsi halima alivyojielezea kwa adabu na heshima. Tulishawaambia muheshimu mamlaka, tufanye siasa za staha nyie mnataka kufanya siasa za ugomvi, kikubwa viongozi wenu wameelewa nyie nyumbu mtaelewa tu
Hahahahaha wajameni mnakumbuka maandamano yasiyo na kikomo nchi nzima..yamefikia wapi wajameni..
Siwezi kufanya hiyo maneno broVp wewe ulitoka?
Kweli siasa kitu cha ajabu Leo hii Halima Mdee Hana tofauti na Paulina Gekul?.
ImekuKuna ka msemo ka Kiswahili kanasema
"Hakunaga Umoja kwenye Njaa akitokea mwenye chakula "
Ni dhahiri shahiri huu msemo unatumika sasa kwa kile ambacho kinatokea na kinachoendelea kutokea ndani ya CHADEMA
Ni ujinga mkubwa kiasi gani kuona usaliti wa namna hii unatokea. Watu wamefungwa gerezani, kupigwa, kujinyima ili tu wapate haki yao halafu anatokea mtu ambaye alikua anawahimiza wananchi kujitolea anawasaliti mbele yao tena dakika za lala salama kabisa. Ina maana hawa wabunge wa CHADEMA walioapa kama Wabunge wateule wa viti maalumu hawajaona AIBU kabisa kwa usaliti wao huu!! Huku si kuwasaliti wanachama tu yaani umesaliti hata Nchi yao Mama.
Watu wanasaliti ilihali MAPAMBANO ya kutafuta haki bado yanaendelea. Inasikitisha sana
Halima Mdee na kikundi chake wamesaliti Nchi.Hawafai kufumbiwa macho kabisa.Wanafaa kuondolewa uanachama
Alamsiki
imekufa yakokoyoo! shuveeee.Kuna ka msemo ka Kiswahili kanasema

Hatuitaki ccm, na wala haimaanishi cdm wakiamua kusaliti misimamo ya kidemokrasia ndio tutaikubali ccm.
Una kichaa kama huyo bwana wako nini? Siri za kina nani? Siri ni hao watu huyo kichaa aliyeua. Hizi ndiyo tunazisubiri kwa hamu.
Nipe faida ya TUME HURU ya Uchaguzibasi wekeni tume huru then itisheni uchaguzi.
Ni wewe huitaki lakini sisi tunaitaka mara 100
Wazungu wana kamsemo chao kwamba ukishindwa kuchagua utachaguliwa na wengine na kwamba kiongozi mbaya huchaguliwa na watu werevu wengi ambao hawapigi kura wala kujishughulisha na siasa hvyo kwa namna moja au nyingine werevu hujikuta wanaongozwa na mjinga wasiye mtegemea.Siasa = Maisha.In one way or another siasa ni part kubwa sana maishani mwako. Ukitaka kushiriki ni juu yako lakini hata ulisema hushabikii itakugusa tu.
You can not run away from politics.
Kama mngekuwa mnaitaka wasengewatumia Tiss kupora kura.
Kuna ka msemo ka Kiswahili kanasema
"Hakunaga Umoja kwenye Njaa akitokea mwenye chakula "
Ni dhahiri shahiri huu msemo unatumika sasa kwa kile ambacho kinatokea na kinachoendelea kutokea ndani ya CHADEMA
Ni ujinga mkubwa kiasi gani kuona usaliti wa namna hii unatokea. Watu wamefungwa gerezani, kupigwa, kujinyima ili tu wapate haki yao halafu anatokea mtu ambaye alikua anawahimiza wananchi kujitolea anawasaliti mbele yao tena dakika za lala salama kabisa. Ina maana hawa wabunge wa CHADEMA walioapa kama Wabunge wateule wa viti maalumu hawajaona AIBU kabisa kwa usaliti wao huu!! Huku si kuwasaliti wanachama tu yaani umesaliti hata Nchi yao Mama.
Watu wanasaliti ilihali MAPAMBANO ya kutafuta haki bado yanaendelea. Inasikitisha sana
Halima Mdee na kikundi chake wamesaliti Nchi.Hawafai kufumbiwa macho kabisa.Wanafaa kuondolewa uanachama
Alamsiki
Nadhani CHADEMA imetumia busara kubwa hadi kuwaruhusu wabunge wa upinzani. CHADEMA wametumia akili kubwa. Kwa sitiation iliyopo, muingie bungeni ama msiingie bungeni kila kitu kitaendelea kama kawaida. Mkiwa na msemaji mmoja tu bungeni anaweza kubadilisha upepo ambavyo isivyotarajiwa. Ingawa Mataga wanaweza kuona kwamba CHADEMA wamejimaliza ukweli ni kwamba chadema imepata pumzi mpya. Wamepata uwanja wa kuongelea...wamepata uwanja wa kusikaka midomoni mwa watu.
Sasa wawakilishi wachache waliopo bungeni wanaenda kutikisa bunge. Wanaenda kusikika kitaifa na kimataifa.
Mapambano ni mbinu. Na wakati mwingine mbinu zinaweza kuonekana za kijinga lakini ndizo zinazoleta mageuzi. Vuteni subira muone.
Hakuna kura iliyoibiwa, mliingia kwenye uchaguzi kichwa kichwa mlidhani ni mchezo, mkaja na sera za ushoga mlidhani watanzania wana akili mbovu kama zenu ! Tuliamuwa kuwachijilia mbali kwenye sanduku la kura. Sasa hivi mnaweweseka tu hakuna kitakachobailika.
Sasa ukikaa tu home ndio chama kinakufa
Coz the way nimekuelewa ni kwamba wao wasingekwenda then sijui kama umewaza chama kingejiendesha vip?
Ww Leo tukikwambia changia mafuta Lita 1000 ya magari ya chama utatoa?