Nahisi nina akili nyingi sana za kutengeneza ideas

Akili kama hizo zipeleke kwenye
Financial Markets'. stocks, govt Bonds, shares ,securities
Forex trading
Digital currencies, bitcoin, dogecoin,
Pia kwenye ya technology mfano phone and PC kurepair
Mtaji umesema unanguvu ya ushawishi unaweza fanya fundraising
Utapiga hela ukimbie
 
Idea zipogo tu usifikiri peke yako ndio una hizo idea
Unatakiwa uanze na idea Moja uifanyie kazi Anza kidogo kidogo then hyo project itakua
Usione watu wamefanikiwa walianza ku implement idea zao kwa kile kidogo ambacho wanacho
Ukiongea tu hakuna ulipoanzia hakuna atakaekusikiliza
Anza hata na kurekod kwenye simu tuma fb au Instagram watu wataona kipaji chako
 
Pia usiseme watu hawapendi kusoma
Unapaswa utumie hicho kipaji chako uwafanye watu wasome
Hapo Sasa ndio unaweza kusema mm Nina kipaji
Sasa kipaji Cha kuongea tu hicho sio kipaji
Andika utapata wasomaji wawili kesho watatu mwisho wanafika maelfu
Ndivyo watu wanavyoanza
Toa huo ushauri jirekod tuma mitandao ya kijamii watu watakuona baadae watakuita watakulipa
 
Natumaini hamjambo wana JF. Nielekee kwenye lengo kuu la kuanzisha uzi huu.

Nimezaliwa mwaka 1989, ukuaji wangu ulikuwa wa kawaida sana kama mtoto mwingine wa Kiafrika ambae wazazi wake waliweza kupata mahitaji muhimu kwa wakati na muda mwingine kwa kuchelewa. Kila siku zilivyozidi kwenda nilikuwa na nikajihisi kama ninautofauti fulani hivi na watoto wenzangu ambao nilikuwa nikishirikiana nao katika masomo na kucheza.

Kitu cha kwanza nilichogundua kilikuwa tofauti ni kuweza kuhisi hatari na kuiepuka kabla haijatokea, kumhisi mtu mwenye nia ovu kabla hajatekeleza hilo kwangu au kwa mtu nilienae (rafiki / jamaa). Hali hii ilinifanya nipende sana kufanya kazi ya usalama wa taifa (secret agent) lakini nilikosa connection . Pili uwezo wa kumsamehe mtu na kusahau (kitu ambacho nimeona ni kigumu sana kwa binadamu wengi). Tatu ni kutokujisomea seriously lakini nikiingia kwenye mitihani nafanya vizuri sana hadi Walimu, wazazi na wanafunzi wenzangu wananishangaa nimewezaje. Kutokana na maendeleo mazuri darasani nilibahatika kusoma kuanzia ngazi ya shule ya msingi hadi chuo kikuu (undergraduate) bila kurudia darasa wala kupata SUP na carryover.

Tatu, ni uwezo wangu wa kumsikiliza mtu na kumuelewa haraka sana na kuna muda huwa nawahi kufikia hitimisho la kile kitu mtu anachokiongea kabla hajamaliza kukiwasilisha na kuna muda ninaweza kumkatisha kisha nikamalizia mimi na nikawa sahihi. Hapa niligundua naweza kuwa public speaker mzuri sana, kwasababu ninauwezo wa kumsoma mtu huku nikiongea na yeye akiongea.

Nne, ni uwezo wa kudadisi vitu katika upana zaidi. Ninaweza kuangalia tatizo na kulitafutia ufumbuzi mzuri wenye tija. Mfano; nilishawahi kuwaza kwamba ili kumaliza tatizo la uhaba wa nyumba za kuishi watumishi wa umma kama madaktari na Walimu, serikali itumie wafungwa kama nguvu kazi ya kufanikisha ujenzi huo. Wazo hili nilikuwa nalo hata kabla Rais magufuli hajaingia kwenye nafasi ya urais wa Tanzania.

Niliwahi kufikiria kuanzishwa somo maalumu la ujuzi wa vitendo na lazima kwa kila mwanafunzi ambalo litamsaidia kujiajiri akimaliza kidato cha nne, sita au chuo kabla hata ya hili tatizo la ajira linaloikumba nchi yetu.

Niliwahi kuwa na Idea za kusaidia vijana hasa wanaoishi vijijini kujikusanya na kufyatua tofali, wachome na kujenga nyumba zao kwa pamoja kama kikundi cha vijana katika vijiji husika ili kila kijana aweze kumiliki nyumba yake. Niliona vijijini ni rahisi kupata viwanja ukizingatia wana ardhi za kurithi kutoka kwa mababu zao, pia rahisi kupata mafundi wa ujenzi ambao ni miongoni mwa vijana hao hao. Then kufanya finishing wanasaidiana kupitia miradi ya kilimo (Ambayo pia nilikuwa na idea jinsi ya Kufanya) au kila mtu atamalizia kivyake.

Tano, nimekuwa na hari ya kushare ideas mbalimbali na jamii hasa vijana kupitia Mitandao ya kijamii, ninatamani sana kupata nafasi ya kufanya kazi na media kubwa ili niwafikie vijana wengi zaidi lakini ndoto zangu zilizimwa mwaka 2017 baada ya kuanza sheria ya kujisajiri na kulipia lesseni za kurusha maudhui YouTube na blogs. Kupitia huku niliamini dunia ingeona kipaji, juhudi na dhamira yangu juu ya kusaidia vijana.

Sita, nina uwezo wa kutengeneza business ideas mbalimbali kulingana na eneo husika, yaani nikifika sehemu nikayajua mazingira ni rahisi sana kukuambia fanya project hii itafanikiwa (Kwenye hili nimesaidia watu wengi sana kuanzisha biashara).

Saba, Nina uwezo mkubwa sana wa kutoa huduma za kisaikolojia na mtu akapona kabisa juu ya changamoto aliyokuwa anaipitia (Nimesaidia vijana, wazazi wengi juu ya matatizo ya watoto wao ambao walihisi hayawezekani).

Nilishawahi kufikiria kutoa huduma ya kumpelekea mtu mahitaji ambayo anayataka kutoka katika masoko yale ya kawaida kabisa na kupata bidhaa kama nyanya, mboga za majani, vitunguu, sukari, mchele, unga, nk akiwa nyumbani kwake. Kwa Tanzania hii huduma sidhani kama ipo na kama ipo haifanyiki kwa kiwango ambacho kinatakiwa.

Ninauwezo wa , kuandika nukuuu zangu mwenyewe, kuandika short articles, kuandaa story za kufikirika na za uhalisia (Kusimulia matukio halisi katika maandishi). Changamoto hapa ni platforms za kunipatia faida kwasababu ya mazingira ya nchi yetu watu wengi hawapendi kusoma na hata wakisoma wanataka story za udaku na skendi tu za watu maarufu.

Pia nimeweza kujifunza skills zifuatazo kupitia Mitandao kama youtube; Kurepair computer (software based), Video editing (Intermediate), Audio recording and editing, etc.

Kuna mengi sana niliyonayo lakini naona uzi umekuwa mrefu utaleta uvivu wa kusoma. Naomba niishie hapa kwasababu nimejaribu ku summarize nilichokusudia.

Je naweza pata platform ambayo naweza fanya nayo kazi kulingana na uwezo wangu nilionao? Naomba mawazo yako au connection .

Kama ni kweli basi weka vyeti vyako vya form 4 ,6 na chuo na tukitegemea una One ya Point 7 Olevo(A 10) ,One Point 3 Alevo(A 3) na GPA ya 5.0 Chuo ,ebu tuanzie hapo kwanza.
 
Haha haha.

Utakuwa na vinasaba na jiwe.

Watu kama nyie mnajuwa kila kitu. Si medicine, si ukuhani, si uaskofu.

Mshaurike nyie vipi wakati mnajua kila kitu?

Kwa mawazo yako kama hayo hata jiwe hatakuhitaji. Wewe utakuwa mzigo tu kwake.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Ideas zako ni za uongo sana mkuu, huna lolote, kwanza tueleze ulikua unashika nafasi ya ngapi darasani?
Alafu hao wafungwa pesa za kununua materials za ujenzi watazipata wapi, unajua investiment ya kujenga nyumba za watumishi Tanzania nzima inagharimu kiasi gani au unalopoka tu. Pole sana kwa kua na akili mbovu,
 
Binafsi najihisi Nina kitu ndani yangu ila tatizo langu kubwa SINA NIDHAMU BINAFSI (self discipline)

Mfano, naweza kujiona ili nifanikiwe natakiwe nizingatie vitu a, b, c..lakini ile nidhamu ya kujisimamia ndo inakuwa changamoto.
Mfano, najiona nikifanya meditation kila siku Kuna vitu vingi Sana nitaongeza katika uwezo wangu wa kufikiri pamoja na muono (vision) kupanuka..tatizo Sasa ILE NIDHAMU YA KUFANYA MEDITATION sina!!!
 
hio ipo mkuu kuwa creative,i wish jamii itambue jinsi ya kuwatumia watu creative kama wewe,nishaona watu kibao wana feli mitihani,ila case study kutoa suluhisho kwa tatizo fulani wanafaulu vibaya mno........so, wekeni case study kwenye masomo shuleni....
 
Back
Top Bottom