Recent content by F16 Falcon

  1. F16 Falcon

    JamiiForums Tanzania Baba adaiwa kumuuza mtoto, asafirishwa kwenda Canada, mama abaki analia akizunguka kuomba msaada

    Huna hela unahangaika kujumua maziwa na imeambiwa mtoto atakuwa anakuja kukusalimia sasa ngoja arudi umlishe matembele akuchukie hadi uyachukie maisha yako.
  2. F16 Falcon

    JamiiForums Tanzania Uingereza yasema Russia inawezekana inajiandaa 'kutekeleza kizuizi kwa Ukraine'

    Wizara ya Ulinzi ya Uingereza ilisema Jumatano kuwa Russia imebadilisha harakati zake za jeshi la majini katika bahari ya Black Sea, ikiongeza kuwa kuna uwezekano majeshi ya Russia yanajiandaa “kutekeleza kizuizi kwa Ukraine.” Wiki iliyopita, Russia ilijitoa katika mkataba wa karibu mwaka mmoja...
  3. F16 Falcon

    JamiiForums Tanzania Putin aunga mkono uanachama kamili wa G20 na nafaka kwa Afrika

    Unajua Africa ikiwa mjumbe inakuwa ka kura ya veto ambayo tutaitumia kupinga baadhi ya mikataba inayoiumiza Africa
  4. F16 Falcon

    JamiiForums Tanzania Putin aunga mkono uanachama kamili wa G20 na nafaka kwa Afrika

    Hao wanamziki waliochangisha pesa unajua mgawanyo wake? Na unajua US imejilipa mara ngapi kupitia rasilimali za Africa? Umeshasikia Urusi ikijihusisha na migogoro ya Africa ambayo hutengenezwa na westerners, halafu wanakuja kwa mlango wa nyuma kujifanya wanatoa msaada? Jiulize mataifa yenye...
  5. F16 Falcon

    JamiiForums Tanzania Putin aunga mkono uanachama kamili wa G20 na nafaka kwa Afrika

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema anatazamia kuona Umoja wa Afrika (AU) unakuwa mwanachama kamili wa mataifa ya G20, akizungumza wakati wa kuanza kwa mkutano wa viongozi wa Afrika mjini St Petersburg. "Tunatumai kuwa uamuzi huu utafikiwa mwanzoni mwa Septemba, wakati wa mkutano wa kilele wa...
  6. F16 Falcon

    JamiiForums Tanzania Konyagi zenye fleva ndani zinauzwa wapi?

    Wakuokoa hela😎
  7. F16 Falcon

    JamiiForums Tanzania Konyagi zenye fleva ndani zinauzwa wapi?

    Acha pombe, jamaa kunywa juisi
  8. F16 Falcon

    JamiiForums Tanzania Konyagi zenye fleva ndani zinauzwa wapi?

    Acha kwenda glossary nenda Bar 😎😎😎
  9. F16 Falcon

    JamiiForums Tanzania Ndege ya kivita ya Urusi yairushia baruti droni ya Marekani nchini Syria

    Ndege ya kivita ya Russia iliruka umbali wa mita chache kutoka katika ndege ya Marekani isiyokuwa na rubani kwenye anga ya Syria na kupiga baruti. Ndege hiyo iliipiga ndege ya Marekani na kuiharibu, jeshi la Marekani lilisema Jumanne, ikiwa ni tukio la karibuni katika mtiririko wa uchokozi wa...
  10. F16 Falcon

    JamiiForums Tanzania Miaka Zaidi ya 15 nikiwa darasani.

    Ni injinia sio mhariri 😎
  11. F16 Falcon

    JamiiForums Tanzania Penzi la Wema na Whozu nalitilia mashaka sana

    Sio "mwanaume" ni "wakiume" yupo Kinondoni. Elewa neno WAKIUME halafu anaishi.KINONDONI Halafu MTANASHATI😎😎
  12. F16 Falcon

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me 🎂🎉

    Kapicha plzzz, tujiridhiahe na UZURI wako 😎
  13. F16 Falcon

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kubwa daktari kuwa Mkurugenzi wa Hospitali

    Hii comparison umeitolea wapi? Ye katoa mfano we unakuja na ulinganifu. Hio Muhimbili unayoisifia ina madudu mangapi?
Back
Top Bottom