Recent content by ezra1504

  1. E

    Ziara ya Katibu Mkuu, Dkt. Slaa mikoa ya Kanda za Magharibi, Ziwa Mashariki

    wewe ni mbumbumbu kati ya mbumbumbu waliowahi kutokea huko kwenu Kigoma. Where does Kigoma and Zitto come from there? Kigoma ina wabunge kibao wa NCCR Mageuzi pamoja na CCM na CDM ni jimbo moja tu la ZZK sasa kila kinachofanyika Kigoma ni against Zitto? That means yeye ht km asingefukuzwa ndo...
  2. E

    CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    Gamba mkubwa wewe! Umejiunga JF tarehe 08 March 2013 na leo hii umekuwa intelijensia wa kutuletea videos za mikakati? Ulikuwa wapi siku zote? Ni mtu gani anayeweza kufanya mipango km hiyo dinning room na wanawake wanakatiza katiza huku na kule? Huo utakuwa mpango wake na sio wa chama maana...
  3. E

    Juliana Shonza amlipua Mbowe

    Who is Shonza by the way? Huyu si malaya km wengine tu? Dr Slaa na Mbowe wamegombea urais and what they hv done every one knows it sasa wewe chekechea wa siasa unalowanisha pedi yako jukwaani kuwasema watu ambao hata Kikwete hathubutu kuwasema jukwaani huoni unapoteza nguvu za kukatia viuno...
  4. E

    CCM wapigeni stop Shonza na Mwampamba kuhubiri Udini, Ukanda na Ukabila....NI HATARI!

    Huyu demu hakuna kitu kabisa. Wewe umefukuzwa Chadema kwa tuhuma za kusaliti chama na ukakomaa kwamba nafasi yako ya bavicha huachii then in three to four weeks unaibukia ccm na kuanza kutembeza kashfa zote hizo. Kwa mwenye akili ataona hizo ni hasira za kufukuzwa. What you should hv done ni...
  5. E

    Wabunge ruksa kutukanana na kutukana kwa mujibu wa sheria ya JMT

    Hawa jamaa ni wamshitaki na Lusinde? Maana yule ndo anatukana mpk basi au wakishindwa ndo wanajua tulitukanwa ila wakitukana wao haina madhara? Wapi Wassira?
  6. E

    Mnyika: The Social Security Laws (Ammendments) Act wa mwaka 2012 kwa hati ya dharura

    Tusaidie jembe letu maana hatuna mwingine wa kututetea. Hawa wezi wamechukua kila kitu sasa wanatunga sheria za kutuibia tena wafanyakazi masikini km sisi, hapa bora nikaajiriwe kwa wahindi, mshahara kwenye bahasha hakuna kodi wala mafao, ukipata chako unatokomea. Wengine waliacha kazi let say...
  7. E

    Kosa la Mwangosi: Waandishi warudia Makosa

    Nakuomba sana ondoa hii thread yako hapa kwa maana huna jipya wewe. Mimi bado nipo kwenye msiba then unaleta ujinga wa aiana gani huu? Kuvaa sare au kutokuvaa sare inatokea wapi hiyo? Hapa hatusemi kuwa akiwa na sare inabidi apigwe au auliwe bali ni kwamba unapokuwa mikononi mwa polisi hutakiwi...
  8. E

    Mkutano wa CUF katika viwanja vya Jangwani

    TBC mkutano wa CUF wanaonyesha live ila wa CDM hata kwenye taarifa ya habari hawaweki mpaka Nchimbi awazungumzie CDM kuwa wamesababisha mauaji ndo utawasikia. Hiki chombo kinaendeshwa kwa kodi zetu iweje kinakuwa na ubaguzi?
  9. E

    Kwanini Chadema wanasafiria nyota ya Mwangosi?

    Wewe huna akili kabisa na ndo maana unatoa pole kwa waandishi wa bara huenda wewe sio Mtanzania so mambo yetu huyajui. Kwa hiyo mtu akiuwawa na hana uhusiano na wewe hutakiwi kusimama na kumtetea sio? Umemsikia Tendwa anawatuhumu CDM kwa kifo cha Mwangosi? Sasa unasemaje wanasafiria nyota ya...
  10. E

    Chadema badilikeni!

    Kawaaambie ukweli hao waliokutuma. Wewe na familia yako kuwa chonjo na Chadema ila usitushawishi kuwa chonjo na Chadema kwani tunaijua Chadema vizuri kuliko pumba zako zilizokujaa kichwani. Kafilie mbali na CCM yako tena wewe utakufa kifo kibaya kuliko hata hao waliouwawa na polisi kwenye...
  11. E

    Ushauri wa bure kwa chadema/makamanda

    Mkuu unamaanisha nini mbona hueleweki? Kwani kuna kutosikilizana au kuheshimiana ndani ya chama? Funguka basi!
  12. E

    "Huenda Mwandishi Daud Mwangosi alitumwa awalipue Polisi kwa bomu (Kujitoa mhanga)"

    Huyu dogo hana akiri na haina haja ya kumjibu lolote, kwanza bado yupo shule anakabiliwa na kufeli vibaya mtihani wa chuo na akawe kada mzuri wa chama chao. Watu km hawa ni wazuri sana kwani baada ya kuchukua nchi kila aliyetendewa uonevu atalipwa haki yake, so tutawakamata watu km hawa ili...
  13. E

    Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

    Sasa hiyo sensa imekwisha? Kwa nini wanaandamana tena hapa Dar ndo polisi wapo kibao na bado wamewaacha? Km kweli nchimbi unao ubavu sogelea hao waislamu na vipolisi vyako ndo utaijua nguvu ya Jihadi kwani hapo ni JK,Bilali na raisi wa Zanzibar ndo watatoa matamko.
  14. E

    JF Focus: Side Comments: Exclusive Interview with JamiiForums founder - Maxence Melo

    Alikuwa Makongoro tumemaliza 1999 form four na alikuwa anasoma Electrical.
  15. E

    Where is the so called "First Class Economist"

    Mwigulu mjibu huyu anakuchokoza sasa!
Back
Top Bottom