Biashara matangazoeeh..mbona amekalia KIGOGO?
Biashara matangazoeeh..mbona amekalia KIGOGO?
teheteheheiiiiiiii Biashara MatangazoBiashara matangazo
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

Nadhani atakuwa hamjui Dr Jacob Zuma na elimu yake...au South Africa haimo SADC?
Zuma was born in Nkandla, Zululand (now part of the province of KwaZulu-Natal). His father was a policeman who died when Zuma was young, and his mother a domestic worker.He received no formal schooling. As a child, Zuma constantly moved between Zululand and the suburbs of Durban in the area of Umkhumbane (near Chesterville). He has two brothers, Michael and Joseph
Aka kajamaa kalianza ufisadi mapema..,na elimu yake ya form four leaver alipataje kazi BOT????
Juliana bakamulie hao yasikutishe matusi,nimefuatilia mwanzo mwisho wa hii thread sijaona tusi jipya hata moja yote ni marudio tu.Labda warudi tena mwembe yanga kwenye ile semina yao.
......