Inasikitisha na kuumiza kuwa unaona binadamu mwenzio ameuawa kifo kibaya namna hii,na ukweli uko wazi
unaonekana,lakini unajaribu kujiondoa ubinadamu kabisa na kujigeuza mnyama kwa kutoumizwa na kuuawa
kwake,ila unaleta ushabiki wa kisiasa na kujali maslahi yako ya kisiasa zaidi ya utu.Kumbuka muumbaji wa
wanadamu ni Mungu nae hafichwi jambo lolote liwe la sirini au hadharani,na ndiye aliyeshikilia uhai wetu na
kuuzima kama mshumaa,anajua dhamira yako ya ndani"Acha kiburi cha uzima ndugu yangu.Jaribu kutafakari
maumivu aliyonayo mke wa Mwangosi na watoto wake,na ugeuzie kwako,ndipo unaweza kufurahia kifo cha
binadamu mwenzio."Think Twice"