Me hua nasali kabla hata sijagusa chochote yaani nitakapo shtuka tu cha kwanza ni kusali ndio mengine hufuata. .hata kusema Asante Mungu kwa siku mpya ni ibada tosha ya kushukuru. Hapo ruksa hata kushika simu au gazet au kitabu
Yeah kaka nilijifunza katika kipind nipo university coz inaitwa principle of Heath and management kua ukitoka tiz oga without soap maana mwili pia huzalisha chemical unapopiga tiz so ile chemical inatoka kwa njia ya jasho so ukioga na sabuni ilhali sabuni ina chemical unakua unajaza chemical juu...
Hii mada imenigusa mimi baby wangu nimempa likizo saiz nina siku kama 6 sijaongeana nae na I don't care . Too much love yanini ilhali hii ni Tanzania jua kali mno we need space la sivyo end of year inafika upo ndani tu no time for friends ye anataka ajue unachat na nani upo na nani salsa me ni...
Nilienda kalenga kama utalii wa ndani na kwa mujibu wa yule msimuliaji pale alisema alijiua kwasababu aliichukia ngoz nyeupe hivyo alitaka isimguse ndio maana akajiua. [emoji24] ndio maana walipo mkuta kafa waka mkata kichwa ili wapeleke uko kwao kuenda kuonesha mtu alie watesa na wanamkubali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.