CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,628
- 990
My complaint is about the company named Vodacom
I have great respect for Vodacom but after going through this
Mimi ni mtumiaji mzuri sana wa mtandao wa Vodacom, Mpesa, internet, na Voice calls. wapo vizuri sana isipokuwa pale linapojitekeza suala la kutatua matatizo ya wateja wao kupitia customer service, ndo shughuli linapokuwa gumu kwao, au pale unapokosana na mhudumu uliempigia simu, hii ilitokea baada ya kutoa lalamiko langu la Mpesa, na aliepokea akasema kulikuwa na tatizo kwenye mtandao ila ipo pending na itarudi baada ya 1hr, after 8hrs sikuwa nimepata majibu yoyote na nikapiga simu tena huyu aliepokea safari hii tukapishana maneno na akaniambia 24hrs na nikapata sms hiyo hapo juu, ila tulipishana sana maneno na hakutaka kukosolewa na kwa nilivyoelewa mimi ni kuwa suala langu au lalamiko langu alilizuia maksudi ili kunisumbua tu, nilisubiri na sikupata jibu lolote baada ya muda huo kuisha, nikapiga tena simu na kujibiwa kuwa suala langu linashughulikiwa na litapata ufumbuzi baada ya 24hrs tena, eeeh nikamwambia tatizo ni nini? yaani sh elfu 5 tu ndo napigwa danadana hivi au kwakuwa tulipishana maneno ya muhudumu wa kwanza? Leo ni zaidi ya wiki sasa na bado tatizo langu halijashughulikiwa nimepiga simu nikaambia ni kweli wanaliona tatizo langu ila Neema hajakamilisha bado. jamani nauliza hakuna highest authorities hapo Vodacom kama hawa wahudumu wanatumia mabavu kuzuia hela zetu?
What is most frustrating is that I was promised the matter is being fixed only finding myself having to call them daily.
It does not make sense when a big company like Vodacom enjoys when money comes in but makes it difficult for money to go out. I wondered whether she understood what she was telling me or it is the coaching that she received from Vodacom
I have been more that patient to the point that I can't anymore.