Me hua nasali kabla hata sijagusa chochote yaani nitakapo shtuka tu cha kwanza ni kusali ndio mengine hufuata. .hata kusema Asante Mungu kwa siku mpya ni ibada tosha ya kushukuru. Hapo ruksa hata kushika simu au gazet au kitabu
Umesahau kuweka kitu hapo kwa mimi ni biblia