Recent content by expel

  1. expel

    JamiiForums Tanzania OPERATION BANG AND BURN: Na jinsi ilivyoacha kovu Kenya na Tanzania

    harudi huyu
  2. expel

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeibiwa ofisini kwangu, naomba msaada wakupata mali zilizoibwa

    Dah aisee pole sana
  3. expel

    JamiiForums Tanzania Ulevi na uzinzi vimemaliza vijana. Amkeni vijana mtakwisha

    TRUE TRUE TRUE mimi kama mimi kwa kweli ni muathirika wa ulevi niliumia hadi kupata matatizo ya uti wa mgongo,miezi mitatu kitandani bila kuinuka nilipiga chini na bodaboda nimeshindwa kuacha hadi nafikiria sijui nimerogwa hapa nilipo nipo kwa mama muuza saa saba hii usiku ningekua naamini...
  4. expel

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini starehe nyingi ni dhambi?

    Si ulishaambiwa njia ya kwenda kule ni pana so take care man
  5. expel

    JamiiForums Tanzania Polepole anakosa sifa hii muhimu ndio maana hakuna anayemzingatia

    Mkuu vp ushagonga urojo hapo forodhani
  6. expel

    JamiiForums Tanzania Kama ni mfanyabiashara na una mtaji nicheki nikupe biashara ya kufanya kila siku unaingiza laki 6 kama faida

    sema hiyo glycerin sokon kama imekua ngumu kupatikana
  7. expel

    JamiiForums Tanzania Denis Urio, msiri wa Kingai, kwanini hajaletwa kizimbani wakati yeye ndiye source ya kesi ya Ugaidi?

    Sasa kipigo cha informer kule kwenye gari sababu yake nini
  8. expel

    JamiiForums Tanzania Majambazi Wakenya Walivyotikisa na Kuweka Historia Kanda ya Kaskazini Nchini Tanzania

    Au the bold your back in another way natania
  9. expel

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    mkuu kunywa maziwa tu achana na vyombo
  10. expel

    JamiiForums Tanzania Haya mafuta ya kula yanayouzwa Buguruni 4000 lita yanatoka wapi?

    Bei imedown kimtindo 20 litres inagonga 83000 inawalipa kimtindo
  11. expel

    JamiiForums Tanzania Kipi ufanye kukabili tatizo la akili lililochagizwa na fikra zako hasi

    mtoa mada kote umepatia ila hapo kwenye pombe aisee sio yan Mimi nikipiga pombe ndio hiyo hali inanisumbua sana
  12. expel

    JamiiForums Tanzania Je, pombe humfanya mtu apoteze kumbukumbu?

    mwenykiti wa walevi hapa kumbukumbu inahama kabisa na hata ukiambiwa siku ya pili unakataa
  13. expel

    JamiiForums Tanzania Hii hapa ndio Kauli Thabiti aliyotuachia Kamanda Alphonce Mawazo

    una uhakika mkuu?
Back
Top Bottom