Msaada: Nimeibiwa ofisini kwangu, naomba msaada wakupata mali zilizoibwa

Mambo ya Mzee Habib pande za Kirando au Nkomolo Namanyere lazima wangetoweka wote lkn sjui kama huu utalaaam bado upo wamebaki matapeli tu mkuuu
Mapema Sana mkuu unasikia taarifa za vifo,huu utaalamu umebaki kwa wachache,mwaka Jana radi iliua watu watatu kwa mpigo katika vijiji jirani ambao watu hao walienda kukwiba kwa duka la simu la mtu asiyependa masihara.
 
Usiku wa kuamkia juzi ndugu yenu nimeibiwa ofisini ni BANDA la mabati ya kuchomelea yale magumu walichofanya ni kupanua kwa kuingiza chuma pembezoni mwa maungio ya bati palipochomelewa kisha wakaingia ofsini.

Walivyoiba ndani ni TV mbili Aina HISENCE + TCL zote inch 32 na remote zake.

Hard Disk 4TB (3) 1 ikiwa ni aina ya Transcend Zingine ni Zile hard Disk kubwa za 3.5 ika nineziweka ndani ya CASE (ORICO).

SIMU 3 za uwakala (nokia ndogo)

Pesa 2.7M

Mitungi ya GAS mikubwa 8 (oryx 4,mihan 2,taifa 2) midogo 15 (oryx 9, mihan 6)

Ombi langu kwa Watu wa kawaida/Mafundi TV yeyote ataeletewa 1 ya hivi vitu Anisaidie tumkamate huyo muuzaji.

OFA yangu ni 1,000,000 kwa yeyote ataenisaidia kumpata muuzaji wa 1 ya hivi vitu, hata kama ukimpata Mwizi wa nokia ya tochi nina 1,000,000 yako kama aASANTE.

wizi umetokea KIMARA SUKA. wakazi wa KIMARA SUKA,GOLANI,MBEZI,TEMBONI,UBUNGO na maeneo jirani wote naomba ushirikiano wenu.

Whatsapp + Call = 0659567391
Pole sana,
 
Pole Sana Mkuu, nakuombea mafanikio Katika ufuatiliaji
 
Mkuu, hivi cctv kwaajili ya magari zinapatikana? na je zina size ndogo ili ziwe hidden kirahisi ndani ya gari?

-Kaveli-

Zipo tracker kwa ajili ya kufuatilia gari ilipo Kama imeibiwa na inafichwa mahali
Ila camera haiwezi kufichwa maana inatakiwa ione mhalifu
 
Pole sana mkuu ila hapo kwenye pesa 2.7M, umezembea kidogo! Mie hata ninapoingia bafuni kuoga katu pesa siachagi mfukoni wewe umeacha kwenye banda la mabati duu! Kweli tuko tofauti sana!
Mungu akufanyie wepesi ukazipate mali zako!

nb: Kuwa macho na wale wanaosema toa pesa tukurudishie mali zako kimazingira, unawezajikuta unapoteza pesa zaidi na mali zako usipate!
Mkuu sio KIMAZINGIRA ni KIMAZINGARA
 
Imekuwaje unahifadhi pesa kiasi hicho hapo mahala?
Mkuu mimi ni wakala siwezi tembea na mahela mengi usiku, hizo hela ukiziona katika buku buku na noti za 2000 ni burungutu kubwa mkuuu.

sina usafiri useme nikitoka usiku nitawasha chombo hadi home,natembea kwa miguuu na kuna siku nakua na Cash nyingi zaidi ya hiyo iliyoibiwa kusema nitembee nayo usiku no hatari zaidi boss.
 
Back
Top Bottom