Je, pombe humfanya mtu apoteze kumbukumbu?

Jaman habarini na poleni na fukuto msaada jamani eti mtu akikufanyia jambo akiwa kalewa ina maana pombe zikimuisha hawezi kumbuka kitu ambacho alikikifanya akiwa kalewa?

Maana kuna ndugu yangu huyo kuna kitu kakifanya akiwa kanywa ucku ila sidhani kama alilewa kivileee na siku ya kesho yake kuulizwa kakana katu katu kuwa hajui chochote kuhusu hilo jambo ndio nauliza je inawezekana kweli kasahau au ndio kujinasua tena?

Inategemea umekunywa kiasi gani na uvumilivu (tolerance) yako kwenye pombe.

Ni ukweli kabisa pombe kidogo inakupa kumbukumbu nzuri, pombe nyingi unapoteza kumbukumbu kabisa.

Mpige picha, mrekodi. Ila kwa wengi ni majanga makubwa sana kwa familia, jamii, Taifa.
 
Jaman habarini na poleni na fukuto msaada jamani eti mtu akikufanyia jambo akiwa kalewa ina maana pombe zikimuisha hawezi kumbuka kitu ambacho alikikifanya akiwa kalewa?

Maana kuna ndugu yangu huyo kuna kitu kakifanya akiwa kanywa ucku ila sidhani kama alilewa kivileee na siku ya kesho yake kuulizwa kakana katu katu kuwa hajui chochote kuhusu hilo jambo ndio nauliza je inawezekana kweli kasahau au ndio kujinasua tena?
NDIYO pombe inaleta usahaurifu na kupoteza kumbukumbu hasa ukizidisha (ukinywa kiasi au kidogo haina madhara ya namna hiyo)

Ukilewa kidogo ni rahisi sana kuongea kiingereza na kuongea ukweli tupu bila uongo wowote

Wakatoriki wameruhusiwa kunywa pombe pasipo kulewa
 
Waswahili tuna msemo wetu kuwa "Pombe siyo chai". Ukinywa na kulewa lazima akili ivurugwe tu. Ila kiwango cha kuvurugwa hilo sina hakika nalo. Wanywaji/walevi ndo wanajua vyema kwamba huwa wanapoteza kumbukumbu au la!
 
Ila mtu akilewa utamjua tu hata ongea yake si ndio?
 
NDIYO pombe inaleta usahaurifu na kupoteza kumbukumbu hasa ukizidisha (ukinywa kiasi au kidogo haina madhara ya namna hiyo)

Ukilewa kidogo ni rahisi sana kuongea kiingereza na kuongea ukweli tupu bila uongo wowote

Wakatoriki wameruhusiwa kunywa pombe pasipo kulewa
Ila mtu akilewa utamjua tu si ndio?
 
mwenykiti wa walevi hapa kumbukumbu inahama kabisa na hata ukiambiwa siku ya pili unakataa
 
Kuna dada ananizoea zoea huku Manzesenikumuuliza tulikutana wapi anadai tulinanihii nae chap chap siku moja nikiwa nimelewa
Sikumbuki kabisa
Pombe hasa hizi nyeupe za kupima zinafuta kumbukumbu yote
 
Hakakwambia ana ujauzito wako? [emoji1787]
 
Pombe inapoteza kumbukumbu ukitumia nyingi. Pombe bingwa za kufanya hivyo ni hizi zifuatazo:
Konyagi
K-Vant
Value
 
Jaman habarini na poleni na fukuto msaada jamani eti mtu akikufanyia jambo akiwa kalewa ina maana pombe zikimuisha hawezi kumbuka kitu ambacho alikikifanya akiwa kalewa?

Maana kuna ndugu yangu huyo kuna kitu kakifanya akiwa kanywa ucku ila sidhani kama alilewa kivileee na siku ya kesho yake kuulizwa kakana katu katu kuwa hajui chochote kuhusu hilo jambo ndio nauliza je inawezekana kweli kasahau au ndio kujinasua tena?
Sio tuu inapoteza uwezo wa kumbukumbu bali pia inasababisha uharibu wa seli na mfumo wa fahamu kwa ujumla na madhara ni makubwa kadri mtu anavyokunywa kwa kupind kirefu.
https://www.healthline.com/health/alcoholism/alcohol-and-memory-loss
https://vertavahealth.com/alcohol/memory-loss/
Alcohol and Memory Loss | Can Alcohol Cause Memory Loss?
 
NDIYO pombe inaleta usahaurifu na kupoteza kumbukumbu hasa ukizidisha (ukinywa kiasi au kidogo haina madhara ya namna hiyo)

Ukilewa kidogo ni rahisi sana kuongea kiingereza na kuongea ukweli tupu bila uongo wowote

Wakatoriki wameruhusiwa kunywa pombe pasipo kulewa

Tatozo kwa wengi kuongeza mdogo mdogo hadi kuwa tegemezi.
 
Pombe siku zote humfanya MTU aongee ukweli wake wote aliouficha moyoni, ndo maana huwa tunasema aliyelewa anakuwa temporary insane, kwahyo kama aliongea kitu basi alimaanisha..

•√√ Kupoteza kumbukumbu ni hadi MTU awe amezidisha sana kikombe cha babu ndo maana unaweza jikuta asubuhi unakiatu kimoja, au umesahau ulipoweka simu .

USHAURI.. msamehe tu alikuwa anaondoa stress akajikuta kaharibu wala hakuwa na dhamira ovu juu yako ni pombe tu zimemfanya aharibu
 
Back
Top Bottom