Recent content by Ex-Fisadi

  1. E

    Rais Malecela - 2010?

    siku hiyo Jeethu patel atasherehekea sana!
  2. E

    JK aalika warembo wa Miss East Africa Ikulu

    inabidi kuvumilia tu, vinginevyo thread nyingine humu mmmh!!! JK is our Diplomat NO. 1, hivyo alikuwa anafanya kazi ya watanzania kwa wepesi kabisa na kirahisi. amefanya kile ambacho marais wengine wowote wa mataifa mengine wanafanya. kumbuka mamiss wale wanawakilisha nchi zao. Juzi juzi rais...
  3. E

    Mbowe, Dr Slaa na Mnyika ni viongozi hovyo hovyo

    Hii thread ni mkakati wa mafisadi ya CCM. this is the way hawa CCM wanavyo operate. Angalia mifano hii. 1. Wakati Amani karume anagombea Tiketi ya CCM ateuliwe kuwa mgombea, alituhumiwa kuwa si Raia. 2. Baada ya Wazungumzaji kina Quares,Butiku, Warioba nk kutoa maoni yao kwenye kongamano la...
  4. E

    Zitto aongea na Power Breakfast ya Clouds FM

    kama alitaka kuhamia NCCR ameisha kosea, alitakiwa kumwambia Kafulila na mwenzake wamsubiri watoke wote na wanachama wao! lakini sasa akihama atakuwa yeye ndie mfuasi wa kafulila. hawezi kuihama CHADEMA
  5. E

    Mbunge wa Mwibara (CCM) apoteza kiti

    Vipi aliyemwachia Zombe??
  6. E

    Makamba Hajatulia! - Warioba

    Polepole jamani wana JF, naanza kuogopa. Huu sio uhaini????
  7. E

    Makamba Hajatulia! - Warioba

    sawa na sofia simba alikuwa receiptionist pale idara ya maelezo. Kwa kweli Kikwete ana kazi kwelikweli!!!!
  8. E

    Imagine ZITTO anahama CHADEMA

    Huyu mjinga katoka wapi? Freeman alisoma Kibaha Secondary School na alipata division One halAFU AKAENDA IHUNGO High school kuchukua PGM. Haya nayakumbuka kwa kuwa tulisoma wote
  9. E

    Imagine ZITTO anahama CHADEMA

    Mpendwa Mheshimiwa Zitto, Hivi karibuni katika moja ya thread humu JF, nilisema kuwa Rostam Aziz amenunua viongozi wetu wengi wa kisiasa, nikasema kuwa huyo bwana anamwagilia miche yote maana hajui upi utakao chipua. Nikawasema kwa majina watu ambao wamekuwa wakifadhiliwa na RA hata nikaandika...
  10. E

    Imagine ZITTO anahama CHADEMA

    Omar, una maana ya Freeman au Kikwete?
  11. E

    Imagine ZITTO anahama CHADEMA

    Nilikuwa fisadi zamani, ndiyo maana nawajua Mafisadi na njia zao. Huo ndio ukweli na unauma
  12. E

    Imagine ZITTO anahama CHADEMA

    Mbatia alipelekwa nje kusoma na kugharimiwa na Rostam, Kuhusu Zitto kugharimiwa na Rostam, sina uhakika lakini ni kawaida kwa RA kumwagilia miche yote maana hana hakika na utakao chipua!! Lipumba, Mrema, Mtikila,Mbatia nk wote wako kwenye payroll yake.
  13. E

    Imagine ZITTO anahama CHADEMA

    Sitashangaa sana. He is now a prisoner of Rostam, atajiondoa JF lakini tutaanza kumwona kupitia makala zake atakazoandika kwenye gazeti ambalo litaanzishwa hivi karibuni. Mengi yako njiani yanakuja, lakini naweza kusema kwa uhakika kuwa NCCR haiwezi kuwa salama kwa kufadhiliwa na Mafisadi.
  14. E

    Imagine ZITTO anahama CHADEMA

    Ni bahati mbaya mimi siyo Mtu wa Kigoma pia ni bahati mbaya mimi siyo Mwana Chadema, vinginevyo ningekwenda kugombea Ubunge kwenye hilo kupitia CHEDEMA halafu huyo dogo nimtoe kamasi. Si mnajua Kampeni za CHADEMA zilivyo organized Jimbo kwa Jimbo? Maneno ya Kafulila yatamtokea puani wakati...
Back
Top Bottom