Makamba Hajatulia! - Warioba

Makamba Hajatulia! - Warioba

Ukiona hivi ndio sababu kubwa ya ombwe ya uongozi ya Tanzania na pia wakina makamba ni mifano tu
 
... Makamba akili haziko sawa, ni vyema akapelekwa Milembe.... Mi naona anazeeka vibaya sana, na atakufa vibaya sana.

Kama alivyosema kuwa amebakiza miaka minne ya kuishi, kwa nini asitende mema akafa vizuri ?????.. Makamba is totally hopeless , i Hate him...
 
Sijaipenda kabisa message yako mkuu Einstein. We are only human being. Sidhani kama kutamani mwenzako afe ni kauli yenye utukufu mbele za Mungu na mbele za wanadamu. Bahati mbaya ilioje, ukitamani mtu fulani afe, wewe ndo utatangulia. I would descourage this kind of message.
 
Warioba ana mu excuse sana Kikwete, si Kikwete ameripotiwa kasema wanaomsema wana chuki binafsi?

Sasa kwa nini Warioba anasema "Rais anaheshimu watu" ?
 
Swala la elimu tunalitambua sana kwamba ni problem kwake....

Hazimtoshi upstairs...wote tunajua, kwanza ni nature yake...

kwa kujikomba tu duh balaa mpaka anauzalilisha umri wake, chama chake, hata familia

yake, ndo mana kwangu inakua ngumu kuamini kuwa mtoto wake atakua na maadili

ikiwa mzazi wake tu anabihave kiivyo. ukizingatia kwamba mtoto wa kiume huchukua

tabia kwa babaye na wakike kwa mamaye....thx for the report INVISIBLE....
Mtoto wake amesoma, tofauti na Dingi!
 
- Warioba aaamue either kuhesabiwa kama kina Quaresi, au anyamaze, somebody should tell Warioba kwamba Makamba, hakujipa ukatibu wa CCM, kama hajui aliyempa basi akaangalie katiba ya CCM ni wajibu wa nani kumchagua katibu wake mkuu?

- Waziri mmoja zamani kwa jina Makweta, siku moja alikwenda kwa bosi wake then Rais Mkapa, kumlalamikia kuhusu msaidizi mmoja wa Rais kwa jina la Kumchaya, Mkapa alimsikiliza mpaka akamaliza kwanza, akamjibu kwamba kama Kumchaya hafai basi na mimi niliyemchagua kuwa msaidizi wangu sifai, next cabinet Makweta, akatupwa nje huku Kumchaya akiendelea na unga!

- Warioba aache kuzunguka mbuyu, Quaresi ameshapandisha the bar, sasa kina Warioba wasiturudishe nyuma tena wote tunajua Makamba amechaguliwa na nani!

Respect.

FMEs!
 
Of all the people hata Quares anaweza kusema chochote akaeleweka? lol mkoa wa mbeya waulize wananchi walivyokuwa hawaishi kuandamana...he is just a failure...

Ni kweli wanaopiga kelele unaweza ku-connect dots...ukajua wanatokea wapi hawana lolote, kama wanataka real politics wamtengeneze mtu wao (CCM backbenchers) apambane na JK 2010...

lakini nani atamwamini qaures, sumaye, mkapa, butiku and his company just lost generation lol
 
Nafikiri kuna haja ya kuacha kuangalia nani anasema na kuangalia nini kinasemwa.

Qaresi the person ana mapungufu makubwa, lakini mapungufu haya ya Qaresi ndiyo hayo hayo yanayompa ujasiri -ujasiri ambao Nyerere aliuita "kichaa"- ambao unamfanya aseme ukweli.

Warioba ana class na old school respect sana, ni mzee old school ana conservatism ya kumpa Kikwete the benefit of doubt sana, na hii class, conservatism na legalism ya kumpa Kikwete the benefit of the doubt ndiyo inayomziba macho.

Let's face it, kuna watu katika hili bandwagon la kina Butiku wanasema wanayosema kwa kuwa wako nje ya system, na wangekuwa katika system wasingesema hayo. Lakini tuliache hilo, lita-complicate issues tu na kum-vindicate huyu joker Kikwete anaposema "wana chuki binafsi"

Tujiulize swali moja dogo tu, yanayosemwa ni kweli au si kweli?

Mambo ya motives and ll kwa sasa ni mapema, wanasema nyoka akiingia ndani ya nyumba hamuanzi kujadiliana nani aliacha mlango wai, mnamuua/ mnamtoa nyoka nje ya nyumba, mnafunga mlango, then ndio mnaweza kuanza kujadiliana nani aliacha mlango wazi.

Kwa hiyo kwa sasa hivi, as long as hawa wazee wanaongea ukweli, tu focus kwenye regime change, haya maswali mengine ya motives zao na past prformances zao yatakuwa timely only tutakapoweza kumtoa Kikwete.
 
makamba ni wa hivo hivo!ALIVYO NDIVYO ALIVYO
 
Mimi namshauri mzee Warioba aendelee tu na ushauri wake kwa watanzania na Serekali!! Kwa MAkamba ni sawa na kiazi kilichofubaa hakiivi tena! Hataelewa hata upige nondo kichwani!!
 
Warioba ni kichwa, ni miongoni mwa hazina ya Taifa kwa wasomi waliobobea na wtu wenye kutafakari mambo na kutoa majibu ya uhakika. Report yake ya mambo ya rushwa inatumika vizuri sana kwenye nchi zingine (Botswana, SA, Namibia nk) kama guide nzuri ya kuitafuta mianya ya rushwa na solution zake,

Lakini kwa jinsi anavyolipeleka hili swala mimi sikubaliane nae kabisa, Bwana Warioba ukweli anaujua lakini hayupo tayari kuuongea, huwezi kusema umoja wa kitaifa unapotea wakati kuna kiongozi mkuu wa kitaifa anaboronga na kila mtu analijua hilo lakini yeye anajifanya halioni. hapa inatutia shaka yeye warioba anamkemea nani au anamkosoa nani?

NYOKA ANAULIWA KICHWANI SIO MKIANI,
Warioba alipaswa kuhoji mwenendo wa JK kwanza na sio Makamba
 
Nafikiri kuna haja ya kuacha kuangalia nani anasema na kuangalia nini kinasemwa.

Qaresi the person ana mapungufu makubwa, lakini mapungufu haya ya Qaresi ndiyo hayo hayo yanayompa ujasiri -ujasiri ambao Nyerere aliuita "kichaa"- ambao unamfanya aseme ukweli.

Warioba ana class na old school respect sana, ni mzee old school ana conservatism ya kumpa Kikwete the benefit of doubt sana, na hii class, conservatism na legalism ya kumpa Kikwete the benefit of the doubt ndiyo inayomziba macho.

Let's face it, kuna watu katika hili bandwagon la kina Butiku wanasema wanayosema kwa kuwa wako nje ya system, na wangekuwa katika system wasingesema hayo. Lakini tuliache hilo, lita-complicate issues tu na kum-vindicate huyu joker Kikwete anaposema "wana chuki binafsi"

Tujiulize swali moja dogo tu, yanayosemwa ni kweli au si kweli?

Mambo ya motives and ll kwa sasa ni mapema, wanasema nyoka akiingia ndani ya nyumba hamuanzi kujadiliana nani aliacha mlango wai, mnamuua/ mnamtoa nyoka nje ya nyumba, mnafunga mlango, then ndio mnaweza kuanza kujadiliana nani aliacha mlango wazi.

Kwa hiyo kwa sasa hivi, as long as hawa wazee wanaongea ukweli, tu focus kwenye regime change, haya maswali mengine ya motives zao na past prformances zao yatakuwa timely only tutakapoweza kumtoa Kikwete.

Hilo ulilosema la kutazama hoja si nani kasema ndio la msingi

Nimesoma hiyo interview. Warioba alikuwa aki-comment kauli za makamba na akajaribu kurelate yaliyosemwa katika kongamano na kauli za viongozi wakuu. Akasema hakuona tofauti. Huo mimi nauona ni uchambuzi makini.

Kuna watu bado siwaelewi humu ndani. Mgawanyiko ndani ya CCM haujatokana na makamba, umetokana na mambo mengi, kubwa likiwa kuwakaribisha na kuwakumbatia matajiri kwenye chama. Uwezo wa kuongoza si kigezo tena bali uwezo wa kifedha au ukaribu na wenye fedha. Hii ndio hoja. Hata bungeni yanasemwa mengi sana, lakini mwishoni wanafikia makubaliano na hiyo ndo inakuwa kauli ya bunge. Kongamano lilifanyika, mengi yakasemwa, na mwisho wakafikia kauli moja.

Ukitaka uongozi wa nchi lazima kwanza utengeneze kikundi kidogo kinachoweza kukuunga mkono. kikundi cha kikwete kiliitwa mtandao. bahati mbaya mtandao ilitumia fedha za matajiri, na haikuishia kumpeleka JK ikulu tu, ilikamata hatamu. uongozi wa nchi na ule wa chama ukaundwa na hao mtandao, wakiongeza kiduchu walio nje ya mtandao, lakini wenye uwezo wa kweli wa kuongoza, kina pinda, magufuli, mwandosya na wengineo. Hawa ndio wamebaki kuwa viongozi wa kweli wa serikali. wengine wameendelea na hulka zilezile za uchaguzi

hayo ni marefu, ila kubwa linaloniudhi, kwanini chama kinachukua mambo ya nchi na kuyabeba wao. kauli na matamko mengi yanatoka Lumumba sio magogoni, kwanini?? tukihoji uadilifu wa kiongozi aliyepo serikalini, ni chama ndio kinajibu, sio ikulu. hapa kuna tatizo!

Tuvunje CCM, tuanze safari ndefu ya kuelekea maendeleo ya kweli!

Mungu ibariki Afrika
Mungu ibariki Tanzania
Asanteni sana kwa kunisikiliza!
 
Swala la elimu tunalitambua sana kwamba ni problem kwake....

Hazimtoshi upstairs...wote tunajua, kwanza ni nature yake...

kwa kujikomba tu duh balaa mpaka anauzalilisha umri wake, chama chake, hata familia

yake, ndo mana kwangu inakua ngumu kuamini kuwa mtoto wake atakua na maadili

ikiwa mzazi wake tu anabihave kiivyo. ukizingatia kwamba mtoto wa kiume huchukua

tabia kwa babaye na wakike kwa mamaye....thx for the report INVISIBLE....

Hapana. Si vyema kuwaingiza watoto wa Makamba kwenye shutuma hizi. Mwacheni Mzee abebe zigo lake mwenyewe. Watoto hao ni watu wazima na kila mmoja ana maisha yake. Si lazima watoto wa kiume kuchukua tabia za baba zao wala wa kike kwa mama zao.

Ninachokiona kwa Mzee Makamba ni kutokuelewa wajibu wake. Anaona amepewa cheo kile ambacho bila shaka hakukistahili na ili kutoa asante yake anaona anao wajibu wa kuwa 'kinga' (blindly) kwa lolote linalosemwa dhidi ya aliyempa/waliompa cheo kile, bila kupima matokeo na madhara yake kwa Chama na taifa kwa ujumla.
 
Nafikiri kuna haja ya kuacha kuangalia nani anasema na kuangalia nini kinasemwa.

Qaresi the person ana mapungufu makubwa, lakini mapungufu haya ya Qaresi ndiyo hayo hayo yanayompa ujasiri -ujasiri ambao Nyerere aliuita "kichaa"- ambao unamfanya aseme ukweli.

Warioba ana class na old school respect sana, ni mzee old school ana conservatism ya kumpa Kikwete the benefit of doubt sana, na hii class, conservatism na legalism ya kumpa Kikwete the benefit of the doubt ndiyo inayomziba macho.

Let's face it, kuna watu katika hili bandwagon la kina Butiku wanasema wanayosema kwa kuwa wako nje ya system, na wangekuwa katika system wasingesema hayo. Lakini tuliache hilo, lita-complicate issues tu na kum-vindicate huyu joker Kikwete anaposema "wana chuki binafsi"

Tujiulize swali moja dogo tu, yanayosemwa ni kweli au si kweli?

Mambo ya motives and ll kwa sasa ni mapema, wanasema nyoka akiingia ndani ya nyumba hamuanzi kujadiliana nani aliacha mlango wai, mnamuua/ mnamtoa nyoka nje ya nyumba, mnafunga mlango, then ndio mnaweza kuanza kujadiliana nani aliacha mlango wazi.

Kwa hiyo kwa sasa hivi, as long as hawa wazee wanaongea ukweli, tu focus kwenye regime change, haya maswali mengine ya motives zao na past prformances zao yatakuwa timely only tutakapoweza kumtoa Kikwete.

Polepole jamani wana JF, naanza kuogopa. Huu sio uhaini????
 
Nimependa sana mazungumzo ya waziri mkuu mstaafu Mh. Jaji Mstasfu Joseph Sinde Warioba!

He is real veteran leader, akae na makamba na kumshauri face to face inaweza ikamsaidia! Makamba anahitaji msaada jamani he is very weak. Akiongea na waandishi wa habari, aliulizwa swali kuhusu matajiri kuchangia chama, akajibu kwa swali hivi wewe ukiwa na sherehe nyumbani utaarika maskini kukuchangia? I doubt if he is reasoning!

Rai yangu kwa chama , wasione haya kumpungunzia majukumu ( Au kumpangia majukumu mengine ya kichama) Mh. Makamba. please anatuabisha watanzania
 
Hivi tunajua anayefanya uteuzi huu ni nani? je ni JK kweli au JK ni koti tuu katika kiti cha urais lakini aliyekalia kiti na anyeendesha nchi ni mtu mwingine.Mimi naona tofauti kabisa,haiwezekani kelele zote hizi mabadiliko asiyafanye endapo anaendesha nchi kweli.

Mimi nafikiri anayeendesha nchi ni mtu tofauti kabisa na JK tena huyo mtu ana hela nyingi ambaye ndiye aliyemuwezesha kufika hapo alipofika.
 
sawa na sofia simba alikuwa receiptionist pale idara ya maelezo. Kwa kweli Kikwete ana kazi kwelikweli!!!!

Mtazamo wangu ni kwamba JK amepangiwa viongozi na hajapanga yeye hivyo hana uwezo wa kuwaondoa,angekuwa na uwezo wa kuwaondoa ungekuta ameshafanya mabadiliko siku nyingi lakini ubavu huo hana.

Inasikitisha mahali ambapo Tanzania tumefika,hakika JK hapaswi kupata awamu ya pili kuruhusu hili kutokea ni kuruhusu machafuko kutokea Tanzania na machafuko yakitokea hakuna atakayeweza kuyazima.
 
Tatizo ni CCM na sio Makamba , kwani kama lingekuwa tatizo ni Makamba basi CCM wangeshamtoa kwani wao ndio walimweka,ila kuendelea naye maana yake wanaridhishwa sana na utendaji wake na yote anayosema ni kwa niaba ya chama na yameedhihirika kuwa yanakijenga zaidi chama.
 
Back
Top Bottom