Recent content by evern james

  1. evern james

    JamiiForums Tanzania Ikulu na Lowassa - Magufuli na Lowassa -

    Taratiiiiiiibu wengi tutayakumbuka na kuja ktk swali KUU la aliyekuwa Katibu mkuu. Je,ni ASSET AU LIABILITY?
  2. evern james

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kutoka kwa Muslim Hassanali

    Unapifanya maamuzi pasipo na sababu ya msingi ni shida
  3. evern james

    JamiiForums Tanzania Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

    Huu ushabiki unaoambatana na shine ya maharage na kacholi nahisi inakusumbua sana
  4. evern james

    JamiiForums Tanzania Hatimaye mlanguzi wa madawa ya kulevya, Ayoub Mfaume (Kiboko) akamatwa

    Huyu ni mlanguzi au mtumiaji?!
  5. evern james

    JamiiForums Tanzania Huu ndio mkakakati wa CHADEMA kuteka taasisi za kitaaluma na kuzifanya za kisiasa

    UWT~Imekuwa kama taasisi ya chama
  6. evern james

    JamiiForums Tanzania Huu ndio mkakakati wa CHADEMA kuteka taasisi za kitaaluma na kuzifanya za kisiasa

    Mbona taasisi mbalimbali zipo kivyama zaidi cdhani kama ni jambo geni endapo utakuwa hivyo coz mpaka sasa CWT hakuna asofahamu ipoje na ni makada wa chama kipi wanaoiongoza na imegeuzwa kuwa taasisi ya chama badala ya umma wa wanawake wa Tanzania. Kwa hili tu ikibidi ibadilishwe jina
  7. evern james

    JamiiForums Tanzania MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

    [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kwaheri
  8. evern james

    JamiiForums Tanzania MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

    ebu nielekezwe ktk waipataje hiyo appl.
  9. evern james

    JamiiForums Tanzania MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

    Nashindwa KUPATA Maelezo ya post hii plz
  10. evern james

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli na ushahidi upo....

    Kama yasemwayo ni kweli kwa mujibu wa mchungaji ni bora angeweka hadharani kile alichonacho nacho huu ya Daud kuliko kuwafanya watanzania watu goi goi . Apeleke kwenye media ili media ziuonyeshe umma na ikibidi amlete huyo #Paulo halisi badala ya sarakasi tu
  11. evern james

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli na ushahidi upo....

    Pale unapotaka kulazimisha mchana kuwa asubuhi ilihali wajua ni ngumu ni sawa nakupandisha mlima kwakutumia kichwa. Kwa elimu yangu ya darasa la pili B hila na visasi c njia sahihi yakuipata haki ambayo maybe wadhani umedhurumiwa au hujatendewa.
  12. evern james

    JamiiForums Tanzania Sakata la CCM: Uwoya amlipua Batuli

    Mi niongezee tu kwamba kama jamii nasi tuamini kwamba kula mkifanyacho nakukisema ni usaniii mtupu?!
  13. evern james

    JamiiForums Tanzania Sakata la CCM: Uwoya amlipua Batuli

    Ndugu yangu mrumi now days umekuwa mpasha habari au nawe umejiunga ktk kundi lile almaarufu SHILA.......?!
  14. evern james

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mange Kimambi

    Duh!!!naona ndiyo kwanza segere linaanza hila mwanzo mwisho Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom