YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,003
Kipindi kilichopita tuliona CHADEMA ikipandikiza watu wake ndani ya taasisi za kitaaluma na kuzigeuza hizo taasisi kuwa vyombo vyake na midomo yake ya kisiasa badala ya kuwa za kitaaluma.Tuliona jinsi ambavyo akina dk MASHINJI walichomekwa vyama vya madaktari na kuanzisha migomo ya madaktari iliyosababisha vifo vya wagonjwa wasio na hatia lukuki.Baada ya kufanikisha mauaji yale ya kimbari ya kupitia mgomo wa madaktari dk mashinji akazawadiwa ukatibu mkuu CHADEMA.
Tuliona CHADEMA walivyokiteka jumuiya ya wafanyabiashara na kumtumia mwenyekiti wa jumuiya hiyo Minja na kuanzisha migomo ya EFD na kuhamasisha migomo ya maduka maeneo kibao ona hapo
Mgomo: Dodoma, Ruvuma, Songea, Morogoro, Mwanza, Mbeya wawapokea wafanyabiashara wa Dar
Pia tuliona migomo ambayo CHADEMA walivyotumia CHAMA cha madreva wa mabasi ya mikoani kukasababisha watu kwa maelfu kukwama kwa kuanzisha mgomo uliokuwa engineered na CHADEMA NA AKINA MNYIKA NA MBOWE
iko mifano kibao niishie hapo
Sasa wanataka kuhamia kukiteka TLS chama cha wanasheria na kukifanya chama cha kisiasa badala ya kuwa chama cha kitaaluma