Ujumbe kutoka kwa Muslim Hassanali

Ujumbe kutoka kwa Muslim Hassanali

Nimepitia na kusoma "comments" za Wadau kwenye(mitandao ya kijamii) Social Media kuhusiana na Mimi kujiunga na CCM Tarehe 9 Januari 2018.

Nawashukuru wale wote waliyechangia mawazo, ushauri, matusi, kejeli na kadhalika na kuyathamini maoni yao. Kwa kuwa wametumia MUDA wao na gharama za Bundle zao za internet. Asanteni wote.

Napenda Tu kusema kwamba, kwa wasiyenijua sio makosa Yao, kwa kuwa muda mwingi wapo "Online" kwenye Facebook,Instagram na wattsapp. Kuna mengi hawajui au kwa maksudi kabisa wanayapinga ili waonekane wanajua kutukana na kukashifu for their own personal benefits.

Nimeona maajabu kusoma pia maandiko ya baadhi ya viongozi wa Chama changu cha zamani eti...wanapinga kuwa Mimi sio "MJUMBE WA BODI YA WADHAMINI". Na baadhi pia kudiriki kusema "NDANI YA CHADEMA WOTE TAKATAKA KASORO TUNDU LISSU"

Sishangai kwa kuwa nimeishi nao muda mrefu na naelewa uwezo wao wa kufikiri na pia naifahamu vizuri matumizi ya midomo yao.

Kuna wengine walikuwa ni walinzi wa viongozi wakuu, Leo wamebahatika kupata vyeo lakini wanashindwa kubadilika na hatimaye uwezo wao wakufikiri unaleta mashaka.

Anyways, sina haja ya Kuthibitisha "Cheo" changu na "Mchango" wangu kwenye chama changu cha zamani.

Naamini, Viongozi wa hicho chama wanalitambua hilo.
Na kuliko kubishana na vijana wasio elewa mamlaka na vyeo, ni mantiki wakawaulize akina Mhe. Freeman Mbowe na Mzee Arcado Ntagazwa ambao nawaheshimu sana, watapata majibu sahihi.

Kwa wale wote ambao hawajabahatika kwenda kufanya kazi za siasa "field" na Mwisho wao ni kwenye comment box za social media. Ili wapate mwanga juu ya mambo wanayo dandia bila kufanya uchunguzi sahihi.

Nimejiunga Chadema kuanzia 2003, na mwaka 2005-2018 hadi najiuzulu nimetumikia nafasi hiyo. Na pia nafasi zingine nyeti ambazo sioni umuhimu kuzitaja kwa kuwa sina tabia ya kumwaga "mtama" penye kuku wengi.

Sitarajii malumbano, sina muda Huo, nipo na harakati za ujenzi wa Taifa kwa maslahi ya Wananchi wote.

Sitaki mutoe "mapovu" hapa. Wenye upeo mpana wanaelewa, na wengine waliopungukiwa endeleeni kutoa "mapovu"

Fanyeni kazi! Jengeni Nchi na Familia zenu.

Hapa Kazi Tu!

CCM MPYA.....

TANZANIA MPYA.....

By: MUSLIM HASSANALI
Mwanachama - CCM
Pumba at its highest level,
 
Hivi huyu ndio yule aliyekamatwa na mahela kipindi cha uchaguzi au wamefanana
 
Usaliti ni laana mbaya sana .

Ulichosahau hapa ni kuwashukuru wote waliotumia pesa zao kama mimi na muda wao kukuhangaikia usiku na mchana kwenye uchaguzi mkuu 2015 , umesahau kuwashukuru hata waliokutilia mafuta kwenye gari lako .

Mungu hatokuacha utatandikwa laana ya ajabu sana .
Kapiga penyewe!!
Uhaini haujawai muacha mtu salama. Chadema inakufa kifo cha kuku mwenye kideri.
 
Hassanal anatukanwa si chochote, bado mzee Sabodo, hawa jamaa wamechanganyikiwa sio bure, Magufuli legeza Mkuu, watajinyonga hawa ukiendelea kuskwizi
kwani magufuli ndo myama gani?mbona mnamtukuza sana
 
Nimepitia na kusoma "comments" za Wadau kwenye(mitandao ya kijamii) Social Media kuhusiana na Mimi kujiunga na CCM Tarehe 9 Januari 2018.

Nawashukuru wale wote waliyechangia mawazo, ushauri, matusi, kejeli na kadhalika na kuyathamini maoni yao. Kwa kuwa wametumia MUDA wao na gharama za Bundle zao za internet. Asanteni wote.

Napenda Tu kusema kwamba, kwa wasiyenijua sio makosa Yao, kwa kuwa muda mwingi wapo "Online" kwenye Facebook,Instagram na wattsapp. Kuna mengi hawajui au kwa maksudi kabisa wanayapinga ili waonekane wanajua kutukana na kukashifu for their own personal benefits.

Nimeona maajabu kusoma pia maandiko ya baadhi ya viongozi wa Chama changu cha zamani eti...wanapinga kuwa Mimi sio "MJUMBE WA BODI YA WADHAMINI". Na baadhi pia kudiriki kusema "NDANI YA CHADEMA WOTE TAKATAKA KASORO TUNDU LISSU"

Sishangai kwa kuwa nimeishi nao muda mrefu na naelewa uwezo wao wa kufikiri na pia naifahamu vizuri matumizi ya midomo yao.

Kuna wengine walikuwa ni walinzi wa viongozi wakuu, Leo wamebahatika kupata vyeo lakini wanashindwa kubadilika na hatimaye uwezo wao wakufikiri unaleta mashaka.

Anyways, sina haja ya Kuthibitisha "Cheo" changu na "Mchango" wangu kwenye chama changu cha zamani.

Naamini, Viongozi wa hicho chama wanalitambua hilo.
Na kuliko kubishana na vijana wasio elewa mamlaka na vyeo, ni mantiki wakawaulize akina Mhe. Freeman Mbowe na Mzee Arcado Ntagazwa ambao nawaheshimu sana, watapata majibu sahihi.

Kwa wale wote ambao hawajabahatika kwenda kufanya kazi za siasa "field" na Mwisho wao ni kwenye comment box za social media. Ili wapate mwanga juu ya mambo wanayo dandia bila kufanya uchunguzi sahihi.

Nimejiunga Chadema kuanzia 2003, na mwaka 2005-2018 hadi najiuzulu nimetumikia nafasi hiyo. Na pia nafasi zingine nyeti ambazo sioni umuhimu kuzitaja kwa kuwa sina tabia ya kumwaga "mtama" penye kuku wengi.

Sitarajii malumbano, sina muda Huo, nipo na harakati za ujenzi wa Taifa kwa maslahi ya Wananchi wote.

Sitaki mutoe "mapovu" hapa. Wenye upeo mpana wanaelewa, na wengine waliopungukiwa endeleeni kutoa "mapovu"

Fanyeni kazi! Jengeni Nchi na Familia zenu.

Hapa Kazi Tu!

CCM MPYA.....

TANZANIA MPYA.....

By: MUSLIM HASSANALI
Mwanachama - CCM

Ulimuona wapi hapa tz mwarabu koko yupo jwtz au polisi? Kazi hii uwezi we kauze duka ndo kazi mnazoweza.
 
Usaliti ni laana mbaya sana .

Ulichosahau hapa ni kuwashukuru wote waliotumia pesa zao kama mimi na muda wao kukuhangaikia usiku na mchana kwenye uchaguzi mkuu 2015 , umesahau kuwashukuru hata waliokutilia mafuta kwenye gari lako .

Mungu hatokuacha utatandikwa laana ya ajabu sana .
Mungu kaanza na Mbowe kwa kumsaliti Dr Slaah. Waliomfanya Mbowe ageuza gia angani sasa wamegeuka 'nightmare' kwake !
 
Nimepitia na kusoma "comments" za Wadau kwenye(mitandao ya kijamii) Social Media kuhusiana na Mimi kujiunga na CCM Tarehe 9 Januari 2018.

Nawashukuru wale wote waliyechangia mawazo, ushauri, matusi, kejeli na kadhalika na kuyathamini maoni yao. Kwa kuwa wametumia MUDA wao na gharama za Bundle zao za internet. Asanteni wote.

Napenda Tu kusema kwamba, kwa wasiyenijua sio makosa Yao, kwa kuwa muda mwingi wapo "Online" kwenye Facebook,Instagram na wattsapp. Kuna mengi hawajui au kwa maksudi kabisa wanayapinga ili waonekane wanajua kutukana na kukashifu for their own personal benefits.

Nimeona maajabu kusoma pia maandiko ya baadhi ya viongozi wa Chama changu cha zamani eti...wanapinga kuwa Mimi sio "MJUMBE WA BODI YA WADHAMINI". Na baadhi pia kudiriki kusema "NDANI YA CHADEMA WOTE TAKATAKA KASORO TUNDU LISSU"

Sishangai kwa kuwa nimeishi nao muda mrefu na naelewa uwezo wao wa kufikiri na pia naifahamu vizuri matumizi ya midomo yao.

Kuna wengine walikuwa ni walinzi wa viongozi wakuu, Leo wamebahatika kupata vyeo lakini wanashindwa kubadilika na hatimaye uwezo wao wakufikiri unaleta mashaka.

Anyways, sina haja ya Kuthibitisha "Cheo" changu na "Mchango" wangu kwenye chama changu cha zamani.

Naamini, Viongozi wa hicho chama wanalitambua hilo.
Na kuliko kubishana na vijana wasio elewa mamlaka na vyeo, ni mantiki wakawaulize akina Mhe. Freeman Mbowe na Mzee Arcado Ntagazwa ambao nawaheshimu sana, watapata majibu sahihi.

Kwa wale wote ambao hawajabahatika kwenda kufanya kazi za siasa "field" na Mwisho wao ni kwenye comment box za social media. Ili wapate mwanga juu ya mambo wanayo dandia bila kufanya uchunguzi sahihi.

Nimejiunga Chadema kuanzia 2003, na mwaka 2005-2018 hadi najiuzulu nimetumikia nafasi hiyo. Na pia nafasi zingine nyeti ambazo sioni umuhimu kuzitaja kwa kuwa sina tabia ya kumwaga "mtama" penye kuku wengi.

Sitarajii malumbano, sina muda Huo, nipo na harakati za ujenzi wa Taifa kwa maslahi ya Wananchi wote.

Sitaki mutoe "mapovu" hapa. Wenye upeo mpana wanaelewa, na wengine waliopungukiwa endeleeni kutoa "mapovu"

Fanyeni kazi! Jengeni Nchi na Familia zenu.

Hapa Kazi Tu!

CCM MPYA.....

TANZANIA MPYA.....

By: MUSLIM HASSANALI
Mwanachama - CCM
Hata Yuda alipo msaliti Yesu alijiona amefanya jambo jema .. Lakini bahati mbaya hata zile pesa alizo pewa aliishia kuzitupa. Nawe leo unajiona uko sawa kwa usaliti ila elewa kuna siku utajilaumu kwa maamuzi yako.
Hakuna msaliti aliye wahi kubaki salama.
 
Usaliti ni laana mbaya sana .

Ulichosahau hapa ni kuwashukuru wote waliotumia pesa zao kama mimi na muda wao kukuhangaikia usiku na mchana kwenye uchaguzi mkuu 2015 , umesahau kuwashukuru hata waliokutilia mafuta kwenye gari lako .

Mungu hatokuacha utatandikwa laana ya ajabu sana .
Uko kwenye kundi la wenye uelewa mdogo
 
Awamu hii kazi kubwa watakayoifanya CHADEMA ni kuponda wafuasi wao wanaoondoka
 
Nimepitia na kusoma "comments" za Wadau kwenye(mitandao ya kijamii) Social Media kuhusiana na Mimi kujiunga na CCM Tarehe 9 Januari 2018.

Nawashukuru wale wote waliyechangia mawazo, ushauri, matusi, kejeli na kadhalika na kuyathamini maoni yao. Kwa kuwa wametumia MUDA wao na gharama za Bundle zao za internet. Asanteni wote.

Napenda Tu kusema kwamba, kwa wasiyenijua sio makosa Yao, kwa kuwa muda mwingi wapo "Online" kwenye Facebook,Instagram na wattsapp. Kuna mengi hawajui au kwa maksudi kabisa wanayapinga ili waonekane wanajua kutukana na kukashifu for their own personal benefits.

Nimeona maajabu kusoma pia maandiko ya baadhi ya viongozi wa Chama changu cha zamani eti...wanapinga kuwa Mimi sio "MJUMBE WA BODI YA WADHAMINI". Na baadhi pia kudiriki kusema "NDANI YA CHADEMA WOTE TAKATAKA KASORO TUNDU LISSU"

Sishangai kwa kuwa nimeishi nao muda mrefu na naelewa uwezo wao wa kufikiri na pia naifahamu vizuri matumizi ya midomo yao.

Kuna wengine walikuwa ni walinzi wa viongozi wakuu, Leo wamebahatika kupata vyeo lakini wanashindwa kubadilika na hatimaye uwezo wao wakufikiri unaleta mashaka.

Anyways, sina haja ya Kuthibitisha "Cheo" changu na "Mchango" wangu kwenye chama changu cha zamani.

Naamini, Viongozi wa hicho chama wanalitambua hilo.
Na kuliko kubishana na vijana wasio elewa mamlaka na vyeo, ni mantiki wakawaulize akina Mhe. Freeman Mbowe na Mzee Arcado Ntagazwa ambao nawaheshimu sana, watapata majibu sahihi.

Kwa wale wote ambao hawajabahatika kwenda kufanya kazi za siasa "field" na Mwisho wao ni kwenye comment box za social media. Ili wapate mwanga juu ya mambo wanayo dandia bila kufanya uchunguzi sahihi.

Nimejiunga Chadema kuanzia 2003, na mwaka 2005-2018 hadi najiuzulu nimetumikia nafasi hiyo. Na pia nafasi zingine nyeti ambazo sioni umuhimu kuzitaja kwa kuwa sina tabia ya kumwaga "mtama" penye kuku wengi.

Sitarajii malumbano, sina muda Huo, nipo na harakati za ujenzi wa Taifa kwa maslahi ya Wananchi wote.

Sitaki mutoe "mapovu" hapa. Wenye upeo mpana wanaelewa, na wengine waliopungukiwa endeleeni kutoa "mapovu"

Fanyeni kazi! Jengeni Nchi na Familia zenu.

Hapa Kazi Tu!

CCM MPYA.....

TANZANIA MPYA.....

By: MUSLIM HASSANALI
Mwanachama - CCM
Sijaona hoja uliyojenga hapa. Kama ulikuwa kwenye organ ya maamuzi makubwa katika chama, nini ulikuwa mchango wako? Kutimka sidhani ni kukisaidia chama chako cha zamani. Hata huko CCM sidhani kana uko salama, ukizingatia umekatika mkia na wenzio wapya wanajua sana.
 
Back
Top Bottom