MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

HABARI ZA JIONI WATAALAMU WA JUKWAA HILI.
njia hii imekuwepo muda mrefu sana ila haikuwa kwa lengo lililo nifanya nianzishe uzi huu.

lengo la njia hii au utundu huu ilikuwa kwa ajili ya kuhamisha chat zako na kuweza kuzisoma ktk PC yako au kwa maneno mengine kuchat kwa kutumia computer.

sasa leo tuitumie njia hiyo hiyo kwa malengo tofauti na hayo niliyo taja hapo juu.

fuata hatua hizi
1. Ingia playstore kisha download app iitwayo
WhatsappWeb
2. Install ktk simu yako
3. Ifungue hiyo program
na utakutana na kitu kimeandikwa
USE whatsapp on your phone to scan the code
4. kisha chukua simu lengwa(hapa panaweza kuwa pagumu kidogo kama huna acces nayo basi hauta faniksha zoezi hili
ila fanya uwezavyo kuipata)
5.fungua whatsap yake na utakutana na chat zake kisa angalia pale juu kwenye kona ya kulia utakutana na vidoti vitatu

6. binyeza hapo utakutana na maandishi
whatsapp web, bonyeza hapo kisha itafungua sehem ya ku scan code(kama umewahi pita supermarket utajua hili.

7.hatua ya mwisho chukua simu yako uliyoinstall ile app na uiffungue italuletea hiyo cod iweke kwa nyuma ya simu lengwa kama mtu unaye taka kuipiga picha hivi
automatic itascan hiyo code na chat zake zitahamia kwako moja kwa moja.

ukifanikisha utaweza kufanya ya fuatayo bila yeye kujua

a.kusoma chat zake
b.kumbadilishia profile picture
c.kumbadilishia status
d.kuchat n.k

kifupi utakuwa umeimiliki wasap yake bila yeye kujua

nimeshindwa kuupload screenshots

PIA KUMBUKA KUDUKUA MAWASILIANO YA MTU NI KOSA KISHERIA.

Safi sana kufuatilia nyendo za vijana wa familia yako,
 
hiyo Msg Forwarder ni nzuri sana,tena inafanya kazi safi ukizingatia sikuizi ukijiunga tuu unapewa msg za bure ila kitu kimoja, kama simu yako itakua rooted kuna app nyingine unaweza kuiweka ambayo kazi yake ni kuficha app zisionekane kwenye menu,namaanisha ukishafanya hizo confg unaificha hiyo msg forwarder
 
cna hamu na hii simu cjui niitupe!!!!????? maana bwana mkubwa ni mtu wa IT halafu ni mpelelezaji kweli kweli! umenitia hofu maana hata vile vya miaka ya nyuma
 
Back
Top Bottom