Recent content by everlenk

  1. everlenk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waandamanaji Nairobi wavamia jengo la Bunge baada ya kuwashinda nguvu polisi, yasemwa waandamanaji 10 wameuawa kwa kupigwa risasi halisi

    Hata mji anaotoka wameandamana na je huko nako ni ukabila? Watu wanataka haki
  2. everlenk

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka nianze kula kitimoto

    Umechelewa sana
  3. everlenk

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu vijana nane niliowasaidia

    Hongera sana na Mungu akubariki kwa kuwainua wenzako.
  4. everlenk

    JamiiForums Tanzania Je, unayajua anayopitia mchungaji wako?

    Asante sana hope wewe utakuwa TAG,Mungu akubariki kwa andiko lako,wanahitaji maombi na kutiwa moyo,kikubwa tukumbuke pia nao ni binadamu kama sisi wana mapungufu na madhaifu yao,tuache kuwachukulia kama Mungu
  5. everlenk

    JamiiForums Tanzania Msaada: Uume wangu unasimama kidogo sana nikiuweka ukeni unalala

    Exactly,chakula bora na kamili,mazoezi ni permanent solution.
  6. everlenk

    JamiiForums Tanzania Msaada: Uume wangu unasimama kidogo sana nikiuweka ukeni unalala

    Swali zuri sana,dawa ni dawa,hasa matumizi holela ya dawa huwa na athari kubwa sana,kama uko katika hali nzuri huna haja ya matumizi ya dawa hizi,maintain tu hali yako ya afya vizuri kwa kuzingatia ulaji mzuri wa vyakula bora na mlo kamili,mazoezi kidogo na kupumzika.
  7. everlenk

    JamiiForums Tanzania Msaada: Uume wangu unasimama kidogo sana nikiuweka ukeni unalala

    Japo uzi naona unawahusu wanaume zaidi ila nami ngoja nichangie kwa uchache kama mdau wa afya, kwanza pole sana ndugu,nimejaribu kusoma comment zote kifupi ndugu hujarogwa wala nini ila ni wewe tu ulizembea zembea kwenda hospital,umesema tatizo lilianza kabla hata hujaoa,na limeendelea kuzidi...
  8. everlenk

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa SAD song or EMOTIONAL songs tukutane hapa

    Lini utapita kwangu by Abiud
  9. everlenk

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa kweli is big now,jamaa anateseka sana,si hizo habari apeleke jukwaa lao?
  10. everlenk

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hahahhahaah wanajua patawaka !!!
  11. everlenk

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hongereni wadau kwa kulipamba jukwaa!! Hope wote humu mko poa,CR7 karibu tena nyumbani. #GGMU
  12. everlenk

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Hahahahah loooh!! Shem habari za siku? Hujaacha vituko tu!!!
  13. everlenk

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Mbarikiwe sana kwa kazi njema.
Back
Top Bottom