Dodoma: Maadhimisho ya Mei Mosi, Waliofukuzwa kwa vyeti feki kulipwa, ahadi ya Nyongeza ya Mishahara yatolewa, Unyanyasaji kazini wakemewa

Kasema lile jambo letu lipo so tusubili mwezi wa 7pengine tutaona chochote
 
Ndio imeisha hiyo, hakuna cha nyongeza ya mshahara wala marupuru, zaidi ni blah blah tupu.
Chenga kibao, ahadi kibao, figure&facts ni zero.
 
Wafanyakazi wasubiri lini tena wakati mwaka jana kwenye Mei mosi alisema full package ya nyongeza ya mishahara ataileta Mei Mosi ya mwaka huu?

Kama ameongeza chochote kwanini asiseme sasa kwenye Mei Mosi?

Kwani nyongeza ya mishahara ni jambo la siri, kubahatisha au kuunga unga mpaka watu wasubiri mpaka mwezi wa saba ili kujua ni kweli au hakuna kitu?
 
Wamepigwa chenga tamu sana. Wameambiwa mpaka mahesabu yafanyike ndio waone
 
Wafanyakazi wasubiri lini tena wakati mwaka jana kwenye Mei mosi alisema full package ya nyongeza ya mishahara ataileta Mei Mosi ya mwaka huu?

Kama ameongeza chochote kwanini asiseme sasa kwenye Mei Mosi?

Kwani nyongeza ya mishahara ni jambo la siri, kubahatisha au kuunga unga mpaka watu wasubiri mpaka mwezi wa saba ili kujua ni kweli au hakuna kitu?
Uzuri hajasema ataongeza mshahara hivyo wasije kulalamika
Kasema Jambo lipo Ila wanapiga kwanza hesabu.
 
Back
Top Bottom