Recent content by eugeneamani01

  1. E

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    VERY TRUE....!!!!!!
  2. E

    Japo sikupenda Barca avuke, ila hili ndio nimejifunza jana

    Naomba nikujibu kwa hivi; source:Verratti: Barcelona players told me it was over - Goal.com
  3. E

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Thanks to you Mkuu Lovely words...!!! Hope wale wanaosema Barca kabebwa na Refa, Verratti kajibu manung'uniko yenu..!!!
  4. E

    Japo sikupenda Barca avuke, ila hili ndio nimejifunza jana

    Ila huo ndio ukweli, Na si mara moja kufanya hivyo. Kuna mechi nyingi sana Messi huwa anatoa nafasi na kwa wengine. So alichofanya jana ni jambo ambalo huwa anafanya mara kwa mara.
  5. E

    Japo sikupenda Barca avuke, ila hili ndio nimejifunza jana

    Thanks kwa kuliona hilo Mkuu, japo wapo wengi hawawezi kukubali ukweli
  6. E

    Japo sikupenda Barca avuke, ila hili ndio nimejifunza jana

    Messi ni mtu tofauti sana na ni mtu ambaye anapenda mafanikio kwa watu wengi. Hana uchoyo na si mbinafsi. Ila ingekuwa Real Madrid jana, Ronaldo angepiga zote, kwani anajiangalia yeye sana
  7. E

    iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Mkuu sio kweli unachosema kwani tumetofautiana ki uwezo, kila kitu sasa hivi kinafanyika kwa njia nyingi tu. Mimi binafsi ni moja kati ya watu wenye uwezo wa kufanya hicho kitu kwa njia zaidi ya 3 na vitu vingine zaidi ya hivyo but sipo hapa kwaajili ya kukuambia how and what to do, zaidi ya...
  8. E

    Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

    Kujidondosha kwa suarez ni moja ya mbinu katika mchezo na yeye si wa kwanza kufanya hivyo, wapo wengi wameshafanya hivyo. ila unasahau kwamba barca kanyimwa penalty mbili za halali. Alafu pia goli la mwisho sio Offside, naomba wewe ndio cheki vizuri na kama unabisha sitoshindwa kukuletea video (...
  9. E

    Ubutu wa Primera Liga waanza kuthibitika

    Hope atakuwa amekusoma mkuu
  10. E

    Nanunua huu wimbo kwa elfu kumi

    Ingia Google, and search. Acha uvivu
  11. E

    Mheshimiwa Lema bana!

    Mheshimiwa Lema bana! Eti ameniuliza ameingia jela Desemba hadi anatoka Machi bado man United ya sita, ligi ilisimama au? Mi nimemwambia nitamjibu ngoja nimalize kazi! :D:D:D:D:D:D
  12. E

    Nataka kuoa jini

    Very true
  13. E

    Nataka kuoa jini

    Very true
  14. E

    Nataka kuoa jini

    hahahahahhahahaha Du.. wewe ni kiboko
  15. E

    Serious man needed baadae awe mume

    Hiyo ni comment au kichekesho
Back
Top Bottom