Ubutu wa Primera Liga waanza kuthibitika

Mkuu Belo,
Mbona kama ueleweki? unazungumzia kushuka kwa viwango au unazungumzia mada ya kua ligi ipi ni bora?

Hivi wachezaji wale bora wa dunia tokea 1990 mpaka leo kama 80% wametoka kwenye ligi moja bado unapata nafasi ya kupinga ubora wa ligi hiyo?

Kama kombe za majumuisho yaani shirikisho kama Uefa na uropa zomeenda kwenye ligi moja mara nyingi kuliko zingine bado unaona shida kusema ligi hiyo ni bora?
 
Mafanikio ya Champions league ni cycle ambayo huwa inazunguka nchi mbalimbali kulikuwa na cycle ya Italy ikapotea,ikaja cycle ya England ikapotea,ikaja cycle ya Germany ikapotea ,ikaja cycle ya Spain nayo imeanza kupotea now.Miaka michache iliyopita timu za Spain (kuanzia timu ya taifa na klabu zao,Uropa na Champions league)zilikuwa zinafanya vizuri kwenye michuano ya ulaya lakini mwaka huu perfomance imeanza kushuka,tatizo sio kufungwa tu kwa Barca lakini ni kiwango kinachoonyeshwa na klabu zake msimu huu huwezi linganisha na miaka 4 iliyopita
Mkuu cycle ya waingereza ilikuwepo lin...? Mbona unadanganya umma
 
Tujikumbushe kidogo uefa final tangu 2000 kama kumbukumbu zangu ziko sahihi...!

1996. Ajax vs juve
1997. Dortmund vs juve
1998. Real Madrid vs juve
1999 b.munich vs man u
2000 real mad vs Valencia
2001 bayern munich vs Valencia
2002 real mad vs b.liverkusen
2003 Ac Milan vs juve.
2004 fc portal vs monacco
2005. Liverpool vs ac Milan
2006. Arsenal vs barca
2007 Liverpool vs ac Milan
2008 man vs Chelsie
2009 barca vs man u
2010 inter vs bayern
2011 barca vs man u
2012 b.munich vs Chelsie
2013. B.munich vs dortmund
2014. Real madr vs atl. Madrid
2015. Barca vs juve
2016. Real Madrid vs atl.Madrid
 
Mkuu cycle ya waingereza ilikuwepo lin...? Mbona unadanganya umma
2006-2012,inawezekana bado ulikuwa mdogo,ninaposema cycle simaanishi nchi kutoa ubingwa tu namaanisha jinsi klabu nchi za nchi moja zinavyo-dominate mashindano hasa kuanzia robo fainali.Miaka 3 mitatu iliyopita Spain walidominate michuano yote ya UEFA(Uropa +UCL),ukiangalia perfomance ya msimu huu ni wazi wanaanza ku-drop na naona miaka ya karibuni klabu kama PSG,Juventus na Man City wanaanza kuwa strong candidate
 
Mkuu Belo,
Mbona kama ueleweki? unazungumzia kushuka kwa viwango au unazungumzia mada ya kua ligi ipi ni bora?

Hivi wachezaji wale bora wa dunia tokea 1990 mpaka leo kama 80% wametoka kwenye ligi moja bado unapata nafasi ya kupinga ubora wa ligi hiyo?

Kama kombe za majumuisho yaani shirikisho kama Uefa na uropa zomeenda kwenye ligi moja mara nyingi kuliko zingine bado unaona shida kusema ligi hiyo ni bora?
Nimeshasema tunaongea 2017 sio 1990 hakuna ubishi miaka 4 iliyopita Spain ndio walikuwa watawala wa soka la Ulaya
 
Nimeshasema tunaongea 2017 sio 1990 hakuna ubishi miaka 4 iliyopita Spain ndio walikuwa watawala wa soka la Ulaya
Sasa mkuu kwa msimu huu wa 2017 mbona UEFA LALIGA Spain wataingiza timu tatu tayari kwa uhakika sasa sijui EPL England
sijui unaiona vp
 
Sasa mkuu kwa msimu huu wa 2017 mbona UEFA LALIGA Spain wataingiza timu tatu tayari kwa uhakika sasa sijui EPL England
sijui unaiona vp
Kuna mahali nimesema EPL ni bora La Liga?
 
2006-2012,inawezekana bado ulikuwa mdogo,ninaposema cycle simaanishi nchi kutoa ubingwa tu namaanisha jinsi klabu nchi za nchi moja zinavyo-dominate mashindano hasa kuanzia robo fainali.Miaka 3 mitatu iliyopita Spain walidominate michuano yote ya UEFA(Uropa +UCL),ukiangalia perfomance ya msimu huu ni wazi wanaanza ku-drop na naona miaka ya karibuni klabu kama PSG,Juventus na Man City wanaanza kuwa strong candidate
Mkuu kwa comment yako hapa ww ndo unaonekana ulikua bado mdogo kwel..

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
 
Naongelea ushindani, wana giants clubs kama madrid na barcelona so hiyo ndio advantage yao, ukisema hata ufaransa watakuwa ligi bora kwani wana PSG, au German watakuwa ligi bora kwani wana Bayern Munich.
Kuwa na two giants hakumaanishi ndio ligo bora.
Pia
Chelsea huwa ana mfunga barcelona sana tu
Anamfunga sana barcelona,chelsea amenyakua UEFA mara ngapi?,chelsea bado ni mtoto mdogo sana UEFA,mafanikio ya barcelona ya ulaya uta linganisha na timu ya kata chelsea?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ni ujinga mkubwa mno kuifananisha La Liga na upuuzi wa EPL. EPL timu zote zina viwango sawa (vya chini) ndo maana kila mechi haitabiriki.

Haiwezekani bingwa mtetezi akutane na timu inayoshika mkia mechi itoke suluhu useme kuna ushindani. Huo ni ujinga.
 
Kwa muda mrefu sana wapenda soka wa dunia wamedanganywa kwamba ligi ya Spain ndio ligi bora na ngumu kuliko ligi zote duniani , hata pale sisi wataalam na wachambuzi wa soka tulipopinga , tena kwa mifano iliyofanyiwa utafiti , tuliishia kusimangwa .

Kipigo cha Barcelona kutoka kwa vibonde PSG ni ushahidi mwingine kwamba soka la spain si lolote , jambo pekee lililojificha ni kwamba , ligi ya spain ina mkusanyiko wa wachezaji wazuri wa dunia ambao kucheza kwao kwa muda kwenye ligi mbovu kumedumaza uwezo wao.

Mifano ni mingi sana , ligi bora haiwezi kuwa na timu bora zisizozidi 5 tu kama siyo 3 , ligi bora ya dunia haiwezekani kuonekana bure bila malipo , ukiacha Tv duni kabisa duniani kama TBC , karibu Tv zingine zote zinaonyesha ligi ya Spain bure kabisa , Azam na Dstv Bomba ni mifano ya karibu .

Timu za Spain zitaendelea kuadhirika zaidi kuanzia sasa na kuvuliwa huo ufalme hewa waliovikwa .

....... Itaendelea ........
Thibitisha maneno yako! Utafiti upi uliofanya.Mtu katundikwa Manchester united.La liga ndo ligi bora angalia uefa wanakuwa wangapi hadi robo fainilia,Europa timu ya wapi inachukua,mchezaji bora wa dunia hadi wa tatu upo wapi,kombe la dunia la vilabu lipo wapi na bingwa mtetezi wa uefa champion league iko wapi.Ngoja nikueleze km haujui EPL ni league maarufu lkn imekufa bila kujijua,EPL kinachoonekana ni league ngumu ni hiki viwango vya timu kubwa na timu ndogo almost ni sawa.Timu kubwa zimebakiwa na majina na mashanikina sio mpira.nitajie timu ya England ambayo ikitoka nje ya Uingereza inayoweza mtisha Bayern,Dortmund,PSG,Napoli,Madrid ,Atletico Madrid,Barcelona, Juventus na n.k kwa ufupi haipo ,mnamcheka tu Arsenal na wengime pia mkifuzu watapigwa tu.Kuna haja pia ya kupunguza team uefa champion league maana Kiwango cha uingereza kipo chini mno.ukitaka burudani ya soccer angalia La liga,Bundesliga,league 1 utajifunza kitu ndo maana hata Tv km Azam na zingine wameona zina maana.Mulize Shaffi kwann wanaonesha hizo? Soccer limehamia hukoo
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ni ujinga mkubwa mno kuifananisha La Liga na upuuzi wa EPL. EPL timu zote zina viwango sawa (vya chini) ndo maana kila mechi haitabiriki.

Haiwezekani bingwa mtetezi akutane na timu inayoshika mkia mechi itoke suluhu useme kuna ushindani. Huo ni ujinga.
Bora ulishamjibu tayari ,ana tabia za kiingereza kufanya exaggeration na marketing sana wakati quality hamna
Hembu muulize mara ya mwisho aliiona lini England inaingia hata robo fainali Euro? World cup etc uone povu lake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom