eugeneamani01
Member
- Feb 17, 2017
- 31
- 21
Mheshimiwa Lema bana!
Eti ameniuliza ameingia jela Desemba hadi anatoka Machi bado man United ya sita, ligi ilisimama au?
Mi nimemwambia nitamjibu ngoja nimalize kazi!