Serious man needed baadae awe mume

Habari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye relationship na mwanaume naemuhitaji kwanza;
1.Awe mchamungu
2.awe mpole kiasi
3.awe tayari kupima
4.awe na elimu ya juu kidogo kuliko maana mm Nina diploma
5. Mrefu kiasi mweupe kiasi au maji ya kunde asiwe mweusi sana
6. Awe anajielewa Mwenye future, vision na awe na Kazi inayomwingizia kipato
7. Miaka 28-35
8. Awe tayari kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa au mpaka nitakapojiridhisha kwamba yeah he deserves to be my future hubby.
Mwisho wa yote awe na mapenzi ya dhati na ambae atajifanya analeta janjajanja asijisumbue Kabisa ..
Sifa zangu mom
1. Maji ya kunde
2. Elimu diploma
3. Nimeajiliwa
4. Dini muislam

Pm kwa maelezo zaidi

N:B Asiyekunywa pombe
Hey miss njoo pm tuyajenge naona vigezo vyote ninavyo. Seriously i need you
 
Humu jf post za kutafta wapenz znaonesha wengi wao ni watu wazima age 26and above. Vp vibinti vya 19,20-23. Havpo humu tuchangamkie fursa? Maana ndo saizi zetu cc vjana
 
Vigezo vyote nimepass kinachonibana n.b kunywa pombe hapo tu maana mi nikinywa ndo napata sana pesa nisipokunywa majanga
 
yaan kuna sifa tatu nitazipinga kufa kupona...!
1. miaka
2. hutoi mzigo mpaka ndoa
3. kupima ukimwi..

hv mnahisi hatujielewi kabisa...! by the way ngoja nikusalimu.. miss charming mambooooo!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom