Recent content by Eugeen

  1. Eugeen

    Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

    Nina above 30 nw, sio swala la udogo hata ni vile bado nina wenge
  2. Eugeen

    Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

    Wakati wadogo huwa sura zinabadilika badilika mwanagu had saiz ashafanan na watu watatu 😆😆
  3. Eugeen

    Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

    Kuna time naitwa baba flan zaid hata ya mara nne na ninasikia ila nasahau kuwa ni mimi naitwa!! 😆😆😆
  4. Eugeen

    Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

    Mama mzazi yuko hapa kabla wife hajajifungua, yuko bega kwa bega, nmeongea na wazazi kuwa nina mixed feelings wananiambia nitulie the right reality inaweza chukua muda ku-kick in
  5. Eugeen

    Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

    nina week mbili toka toka mwanangu azaliwe tarh 04/04, ila nafikir reality ya sasa nmekuwa baba haijanipata vizur bado nina mawenge kuna mda siamin kama tayari ni baba, sielewi ni uoga, furaha au naona kawaida tu au sababu mambo ni mengi! Sielewi lolote nipo tu!!
  6. Eugeen

    Hivi kuna watumiaji wa simu wanaopata raha ya display zaidi ya sisi tunaotumia Infinity display ya Samsung?

    The point was display ya cm na sio kampuni, kama ni kampun uko sahihi sibishani na wew ila kama me sim rank ake ambayo ndo ilikuwa main uzi pitia hapa The 10 best smartphones of 2018 | ZDNet Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Eugeen

    Hivi kuna watumiaji wa simu wanaopata raha ya display zaidi ya sisi tunaotumia Infinity display ya Samsung?

    Hiyo rank ya dunia gan, unaijua -google pixel -series ya one plus Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Eugeen

    Kwa kauli kama hizi, bado tuna safari ndefu!

    Kuna mtu na roboti, kuna kipindi anakuwa sio yeye nafikiri
  9. Eugeen

    Samsung ipi nzuri?

    Note 3 ni nzur
  10. Eugeen

    Nini kinamliza mwanamke kitandani?

    Naona uko mapumziko, kuweka uzi mida hii sio mchezo [emoji16][emoji16][emoji16]
  11. Eugeen

    Lollipop to marshmallow

    Cha msingi asichomoe bettry kabla haijamaliza
  12. Eugeen

    Naachana na mke wangu rasmi

    Kuna umuhimu wa kumtandika makofi hata matatu tu akili itakaa sawa
  13. Eugeen

    Mambo yanayoshusha thamani ya mwanaume mbele ya mwanamke

    Sasa ukiwa muongo uwage na kumbukumbu coz kuna day atakuuliza kuhusu hilo ulilomdanganya ww utashusha uongo mwingine yan utaharibu makila kitu
Back
Top Bottom